Msaada wa mawazo ya biashara kwa Mtaji wa Milioni 5 Mjini Bariadi mkoa wa simiyu

Msaada wa mawazo ya biashara kwa Mtaji wa Milioni 5 Mjini Bariadi mkoa wa simiyu

Mshati940

Member
Joined
Apr 2, 2015
Posts
76
Reaction score
61
Kama kichwa cha hapo juu kinajieleza kwa walio bahatika kutembelea mji wa bariadi naomba msaada wa mawazo wa fursa za kibiashara walizoziona ambazo mtu mwenye mtaji at least wa Milioni 5 anaweza kufanya na maisha yakaenda vizuri. Natanguliza shukrani
 
Fika kwanza kwa Ana au silc upate moja moto moja baridi mawazo yatajipanga kichwan chap kwa haraka mkuu.
 
Back
Top Bottom