Ivan Stepanov
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 6,799
- 22,209
Kuna tatizo lolote?Watu wa fb washahamia huku
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna tatizo lolote?Watu wa fb washahamia huku
Hakuna acha tujaze serverKuna tatizo lolote?
Tujaze tu mkuu, hatulipii ushuru, kwanza JF ni NGO 😂Hakuna acha tujaze server
Bahat nzuri mi hizo shida zote siwaz mim nawaza hela ya utajiri tu sbb nishachoka maisha ya kawaidaDar es salaam
Kupanga pesa
Chakula pesa
Usafiri pesa
Maji pesa
Taka pesa
Umeme pesa
Mwendokas pesa
Pantoni pesa
Ukwaju pesa
Demu au Malaya pesa
USIJE MJINI
Mkoa gani ambao hvyo vtu vinapatkana bure?Dar es salaam
Kupanga pesa
Chakula pesa
Usafiri pesa
Maji pesa
Taka pesa
Umeme pesa
Mwendokas pesa
Pantoni pesa
Ukwaju pesa
Demu au Malaya pesa
USIJE MJINI
Huko kwenu kijijini unapanga(unakaa nyumba ya kupanga) mkuuMkoa gani ambao hvyo vtu vinapatkana bure?