Kitu kikiwa sehemu ambapo hakistahili kuwepo kinaonekana kama takataka.Poleni kwa utafutaji+mapenzi
Naomba kujua ukitaka kufungua sheli (petroli,mafuta ya taa na dizel)
Niwe na milioni ngapi,kama kianzio
2019 nataka kupanua biashara
Ni hivyo tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Anatafuta zile papuchi zinazoshobokeaga feza!!
"Ukipanua" ndio watu wanazidi kutamani by...Poleni kwa utafutaji+mapenzi
Naomba kujua ukitaka kufungua sheli (petroli,mafuta ya taa na dizel)
Niwe na milioni ngapi,kama kianzio
2019 nataka kupanua biashara
Ni hivyo tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Anatafuta zile papuchi zinazoshobokeaga feza!!
Lakini usivunjike moyo hata kwa hiyo 800 unaanza na kuiboresha pole pole. Kikubwa site iwe nzuri ki biashara
Lakini usivunjike moyo hata kwa hiyo 800 unaanza na kuiboresha pole pole. Kikubwa site iwe nzuri ki biashara
Sent using Jamii Forums mobile app
Umewaona lkn mkuu..... [emoji1]Sawa,lakini akina oilcom na lake oil hata humu pia wapo wengi sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Mungu akubarikiSite nimeshapata maeneo ya mbezi, gi dalo kocha ber adwaro yawo achiel
Sent using Jamii Forums mobile app
Njoo pmChief naomba unipe kazi ya kukutafutia na kukuletea uchambuzi mzima juu ya biashara hii. Nitakuchambulia risk, faida, hasara, mtaji na eneo zuri kwa biashara.
Malipo yangu yatakua kidogo tu.