Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakubaliana na mkuu,ameelzea vizuri saana ubarikiwe kamandaHongera kwa wazo zuri la kibiashara ila kuanzisha kituo kipya itakuchukua kama mwaka mzima hivi kuweza kukamilisha kila kitu hadi kufungua kituo.
hatua ya kwanza ni kupata eneo la kuweka kituo lililotengwa kwa ajili ya biashara hiyo, ya pili unatakiwa kwenda halmashauri kuomba kibali cha ujenzi, tatu utaenda Fire kupata certificate ya kujenga kituo, nne itakubidi ufanye Environmental impact assessment, ukishapata certificate unaenda Ewura kwa ajili ya vibali. baada hapo ndio unaweza kuanza kujenga kituo.
kuna watu huwa hawafuati hizo taratibu ila huwa kuna shida zake na hasa kwa kipindi hiki.
kujenga kituo standard ambacho hutopata shida ya ewura kwa kijijini ni kama 150m.
Hongera kwa wazo zuri la kibiashara ila kuanzisha kituo kipya itakuchukua kama mwaka mzima hivi kuweza kukamilisha kila kitu hadi kufungua kituo.
hatua ya kwanza ni kupata eneo la kuweka kituo lililotengwa kwa ajili ya biashara hiyo, ya pili unatakiwa kwenda halmashauri kuomba kibali cha ujenzi, tatu utaenda Fire kupata certificate ya kujenga kituo, nne itakubidi ufanye Environmental impact assessment, ukishapata certificate unaenda Ewura kwa ajili ya vibali. baada hapo ndio unaweza kuanza kujenga kituo.
kuna watu huwa hawafuati hizo taratibu ila huwa kuna shida zake na hasa kwa kipindi hiki.
kujenga kituo standard ambacho hutopata shida ya ewura kwa kijijini ni kama 150m.
Nipigie 0756837183Heshima yenu wakuu, msaada mwenye kujua ghalama za kufungua kituo cha kuuza mafua (filling station) nataka nifanye hii biashara nipo mkoani tatizo sijui pakuanzia wapi mtaji sio tatizo mwenye mchanganuo wa biashara hii plz share mbarikiwe sana
Swali la nyongeza kaka,Mkuu Pamoja na location ambayo kutoka na UFISADI haifuatwi kwa sasa, ila kuna mambo mengine
Zile kampuni za mafuta kama Total, Lake oil, BP, GAPCO na kazalika ukienda na Proposal ya kueleweka huwa wanakujengea na wewe unakua unauza tu mafuta na ukienda kinyume na Sheria zao wana kunyang'anya sheli mida hiyo hiyo hawana mchezo,
So kuna wanao jenga vya kwao wenyewe na kuna vya Makampuni, na vingi vyenye Majina ya watu binafisi au sehemu uje ni mtu mwenyewe kajenga, Mfano JUMA PETRO STATION, SERENGETI FILLING STATION, hivi huwa ni vya watu binafsi, ila vile vyote vyenye majina ya Makampuni kama vile TOTAL, GAPCO, CAMEL. LAKE OIL, BP, na vinginevyo hizi vimejengwa na wenye makampuni na wanao uza ni menegment tu na mwisho wa siku wanakulipa kamisheni ya kuuza, na hapa kama Sheli ni ya GAPCO ukiuza mafuta ya TOTAL inakula kwako mazima, NA UNALAZIMIKA KUUZA NA GRESE ZAO, OIL ZOTE MBILI NA MAFUTA YA BREAK YA KAMPUNI YAO
Ila kama sheli umejenga wewe mwenyewe una mamlaka ya kuuza mafuta ya kampuni yeyote ile iwe SPACE OIL, LAKE OIL NA KAZALIKA,
ISHU ZA KUWEKA SUPEMARKET NI MANJONJO YA WEWE ULIE PEWA JUKUMU LA KUUZA MAFUTA, ILA KISHERIA BADO NI HATARI INGAWA WAPO WANAO WEKA HADI GEST SHELI
Mkuu, binafsi nilikwenda GAPCO wakati wa maonyesho ya sabasaba (walikuwa na banda), walinikaribisha vema. Baada ya maongezi mafupi walinialika kufika ofisini kwao. Cha msingi walitaka kujua kama ninamiliki eneo ambalo ni potential, halafu kama nina vifaa. Nikawaambia mimi nina eneo tu, wakasema vingine watatoa wao.Mkuu naomba mrejesho wa hii kitu...
umefanikiwa maana na mimi nataka nijikite kwenye biashara husika.
Thanks in advance.
Asante mkuu kwa jibu zuri...Mkuu, binafsi nilikwenda GAPCO wakati wa maonyesho ya sabasaba (walikuwa na banda), walinikaribisha vema. Baada ya maongezi mafupi walinialika kufika ofisini kwao. Cha msingi walitaka kujua kama ninamiliki eneo ambalo ni potential, halafu kama nina vifaa. Nikawaambia mimi nina eneo tu, wakasema vingine watatoa wao.
Bahati mbaya baada ya maonesho nilisafiri kwa zaidi ya mwaka, niliporudi sikuwa na msukumo tena. Ila nakiri jamaa walikuwa tayari kusaidia na walihitaji sana.
ThanksInawezekana. Uwe na mtaji wa kutosha tu. Jaribu kupitia comments za wadau wamedadavua
Ewura lazima waangalie eneo ndiyo upatiwe kibali cha ujenzi wa kituo.naomba kufahamu kama nshajenga kituo changu cha kuuzia mafuta, je natakiwa kuwa na vitu gani kabla ya kwenda ewura kupata leseni....cjui pa kuanzia jamani...msaada..munitajie vitu ntakavyokwenda navyo ewura....
Msaada jamani naona kama muda unakimbia napoteza muda.....
Umejibu sahihi kabisa.Kuna aina mbili za hivyo vituo!aina kwanza jenga cha kwako....kwa standard ya (seek ushauri kwa Oilcom,Gapco,Total etc) ambao watakuuzia hayo mafuta!unakuwa unatumia logo yao .....ukishajenga kituo,unaweka deposit kwao mnaanza biashara!unaletewa mzigo ukiuza unapeleka hela yao ww unabakia faida....wanaleta tena!ila lazima uweke deposit kama 150m hivi!ama la uwe unanunua cash bin cash...hakuna kuchagua kampuni ya kukuuzia!unaenda popote na kununua mzigo unamwaga na kuuza!wajuzi zaidi wakiamka watakumwagia zaidi!subiri
Changamoto kubwa kwenye kituo ni evaparation of surface of liquid to gaseous,atleast 200liters per month kutokana na eneo pit tank ulipohifadhi pamoja na maeneo mfano dar na arusha zinaweza kuwa tofauti.Wakuu nimeamua kuthubutu. Nataka kuanzisha kituo cha kuuzia mafuta (petrol & diesel). Ninapanga kuanza na na pampu mbili tu. Je ni mambo yapi ya msingi ninayopaswa kuzingatia ili kuanzisha kituo?
Kwa hiyo inabidi kubalance kwenye bei basi. EWURA wanalijua hili?Changamoto kubwa kwenye kituo ni evaparation of surface of liquid to gaseous,atleast 200liters per month kutokana na eneo pit tank ulipohifadhi pamoja na maeneo mfano dar na arusha zinaweza kuwa tofauti.