Msaada wa namna ya kukabiliana na ugumu wa maisha.

Vijana wengi sikuhizi tunakosa mbinu za kibiashara, unaweza kuwa na mtaji na huna pa kuanzia, mm nadhani hatujajua jamii inahitaji nini.
 
Vijana wengi sikuhizi tunakosa mbinu za kibiashara, unaweza kuwa na mtaji na huna pa kuanzia, mm nadhani hatujajua jamii inahitaji nini.
Tufanyeje mkuu.
 
Kaka ni vile tu biashara haiendi.. nazungusha maziwa mtaani sku za nyuma mambo yalikuwa yanaenda kiasi lakini sasa... unazungusha lakin wapi... kaz mtaani hakuna... ukifanya wanadhulumu... nipo bukoba.
Nyie ndo wale mnaye tuuzia maziwa yenye maji??MUNGU amekulaani piga goti chini muombe msamaha
 
Hauko peke yako mkuu,hali ya uchumi imebadilika sana,hapo kwenye nini cha kufanya nadhani ni kuangalia tu vipaumbele na kuishi kutokana na kipato ulichonacho...lakini ngoja kwanza mwenza uliyenae sio kichomi?
Nchi imefunguliwa pesa zipo mtaani nashangaa bado mnasema maisha magumu?
 
Nyie ndo wale mnaye tuuzia maziwa yenye maji??MUNGU amekulaani piga goti chini muombe msamaha
ndivyo Mungu amekwambia... maziwa nauza yakiwa pure kabisa tena siku za nyuma mpaka wateja wakimiss wanalalamika......
 
Hata mm ni muhanga wa hili tatizo nipo hapa kujifunza Ndg.
Pole ndgu yangu.. sema nahc n kupambana mpaka mwisho kama baadh ya wanabodi walivyosema..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…