Kuna muiran alitoa milioni 5 kukipata .Na yeye anakitambulisho cha TZ 😁Asee Mkuu acha tu.
Ni miezi sasa nateseka
Siri zengine naweka maana ni aibu Hata kuna mtoto wa wafalme wa sudia anakitambulisho tena alifatwa nyumbani na kumbuka na kwa sasa mshikaji wangu ni marehemuWhaaat asee tunauza manufaa ya nchi kwa 5m??
Mtafute Abdul, all will be sorted out immediately.Hello Wakuu.
Nimekua najaribu kusajili NGO yangu kupitia mfumo wa NIS jamii.
Lakini kila nikifika kuverify NIDA yangu naandikiwa "something is wrong, please try again"
Nimeenda office ya NIDA wilayani nimehakiki kila taarifa na kuangalia status za NIDA inaonesha haina shida wala kukosewa.
Sasa imezidi hadi mfumo wa NIN pia inagoma kuhakiki naambiwa taarifa sio sahihi.
Nimefika hadi office za NIDA Wilayani wakadai kwa kuwa nina Kitambulisho website ya NIN haina umhimu.
Lakini safari hii hadi BRELA inanipa Shida, nimeona kuna tatizo la Verification system huenda Taarifa zangu hazijawa Synced or refreshed kwenye API zinazopewa BRELA na mashirika mengine au Gateway.
Naomba aliye na mawasiliano na Watu wa IT NIDA anisaidie au ambae amewahi kukumbwa na hii kadhia aweze nipa mawazo alifanyaje natanguliza Shukrani.
NB: Nimeenda office za NIDA naambiwa tu NIDA yangu haina shida while ina Shida ya kutoverify mifumo mingi ya usajili hata wao wenyewe wa NIN.
😢😢😢😢😢Siri zengine naweka maana ni aibu Hata kuna mtoto wa wafalme wa sudia anakitambulisho tena alifatwa nyumbani na kumbuka na kwa sasa mshikaji wangu ni marehemu
Nimeichukua muda sana.Ni kwamba huenda wewe yamekukumba hapo ulipo na wala haujui kama yamekukumba huenda unadhani upo salama kumbe haupo salama mpaka siku ukitaka service ambayo Taasisi itatakiwa kuvuta information zako NIDA ndio hapo utakutana na ujumbe wa THERE IS A PROBLEM PARSING MESSAGE RECEIVED FROM NIDA; au huenda ukawa kama huyu mdau aliyepata shida na kujibiwa majibu ambayo kama kawaida yetu nchi hii INA WAJUAJI WENGI WASIOJUA...
- Logikos
- busara identity kale kero matumizi nida number tafadhali zama
- Replies: 7
- Forum: Habari na Hoja mchanganyiko
So kaka shida yangu ni NIN kua blacklisted kwenye database ya NIDA ambayo BRELA na wengine wanavuta verification info?Ni kwamba huenda wewe yamekukumba hapo ulipo na wala haujui kama yamekukumba huenda unadhani upo salama kumbe haupo salama mpaka siku ukitaka service ambayo Taasisi itatakiwa kuvuta information zako NIDA ndio hapo utakutana na ujumbe wa THERE IS A PROBLEM PARSING MESSAGE RECEIVED FROM NIDA; au huenda ukawa kama huyu mdau aliyepata shida na kujibiwa majibu ambayo kama kawaida yetu nchi hii INA WAJUAJI WENGI WASIOJUA...
- Logikos
- busara identity kale kero matumizi nida number tafadhali zama
- Replies: 7
- Forum: Habari na Hoja mchanganyiko
Then case yako ni tofauti ingawa wengi wapo kwenye hili kundi NIDA zao zipo Blacklisted na huenda hawajui mpaka siku wakitaka service inayohitaji verificationNimeichukua muda sana.
Though nilichukuliwa na Dada yangu.
Na mwanzo ilikua inakubali kusajili Lain ila sasa inagoma
Eeh hapo verification ndio penyewe now, Mfano NGO members 4 tayari NIDA zao zipo verified ila mimi tu ndio naandikiwaThen case yako ni tofauti ingawa wengi wapo kwenye hili kundi NIDA zao zipo Blacklisted na huenda hawajui mpaka siku wakitaka service inayohitaji verification
Hii nchi ina matatizo sana..., yaani teknolojia badala ya kuwa msaada unakuta inazidi kuleta taharuki na kuharibu, mbaya zaidi hawana plan B kwamba A ikiwa ina shida jaribu B au C; kwa ushauri fika Ofisi zao waelezee tatizo na wasikujibu tu kwa maneno bali wakupe document zenye maelezo ya shida ili uweze kuyafikisha kwenye NGO husika kuonyesha kwamba tatizo lipo nje ya uwezo wakoEeh hapo verification ndio penyewe now, Mfano NGO members 4 tayari NIDA zao zipo verified ila mimi tu ndio naandikiwa
"Something is wrong" mfumo wa NIS Jamii.
Na mfumo wa NIDA wa NIN nao naandikiwa taarifa sio sahihi fika wilayani na nishafika na kuhakiki.
UONGOKuna muiran alitoa milioni 5 kukipata .Na yeye anakitambulisho cha TZ 😁
Kalia hivyo hivyo siku wakikupiga mashine ndio utajua ukweliUONGO
Ahsante sanaHii nchi ina matatizo sana..., yaani teknolojia badala ya kuwa msaada unakuta inazidi kuleta taharuki na kuharibu, mbaya zaidi hawana plan B kwamba A ikiwa ina shida jaribu B au C; kwa ushauri fika Ofisi zao waelezee tatizo na wasikujibu tu kwa maneno bali wakupe document zenye maelezo ya shida ili uweze kuyafikisha kwenye NGO husika kuonyesha kwamba tatizo lipo nje ya uwezo wako
Kisa umezoea *****Kalia hivyo hivyo siku wakikupiga mashine ndio utajua ukweli