Msaada wa Saikolojia: Nimetokea kupenda part time love/Uke wenza kuna kama mimi?

Hawa wanaume wenye KE zaidi ya mmoja huku mitaani ni wa sayari nyingine au?..
Kutohudumia kwa usawa ni changamoto ambayo mtu akiwa na nia nafikiri inarekebishika..issue maamuzi tu,.why wapungukiwe na ulianzisha mahusiano mwenyewe?
Duuh kwani hujasoma comments za baadhi ya wanaume humu, wenyewe wanasema wanatamani kufanya hivyo ila wanaogopa wake zao, hakuna mwanaume anayeweza kujitoa kiasi hicho kwa familia ya nje bila kushitukiwa na mkewe na kusababisha migogoro
 
Kwani wanaume mnataka nini
Nilidhani KE 2 ndo kitu mnapenda
 
Huo nd uhalisia halisi kuna siku unapumzika hutaki tabu Yuko familia ya pili huko, uko Sahihi Dada, hata Mimi ningepata Mwanamke ambae Yuko kama wewe haraka ningeoa lkn si rahisi kumpata kihivyo,, ukikosa huko we nicheki tu tuyajenge
 
Moyo ulionao wewe ndio angekuwa nao mama D wangu kungekuwa na wenzio watatu. Hongera sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…