Msaada wa school fees structure za hizi shule

Msaada wa school fees structure za hizi shule

Wadau January ndiyo hiyo na interview za form 1 zimeanza. Naomba mwenye kujua school fees za:

1. BAOBAB
2. MARIAN
3. HAMES

Na kama una pendekezo la shule yenye schoo fees rafiki isiyozidi 2M kwa mwaka please tujuzane.

Au ushauri wowote kuhusu shule za Form 1
Hiyo hela ya kumsomesha mtoto kwenye hizo shule fanya kuziweka ili akitoka sent kayumba umfungulie biashara au mpeleke veta akachukue ujuzi. Ukishindwa kabisa tumia hizo hela kumnunulia noah awe anabeba abiria ajipatie kipato
 
Back
Top Bottom