kwa-muda
JF-Expert Member
- Sep 5, 2018
- 2,097
- 5,348
Mkuu unajua ada yao ya primary baobab ina range kiasi ganiBoabab form 1 hadi 4.46m
Hames 4.3m
Marian 3.8m
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu unajua ada yao ya primary baobab ina range kiasi ganiBoabab form 1 hadi 4.46m
Hames 4.3m
Marian 3.8m
Hapana siujuiMkuu unajua ada yao ya primary baobab ina range kiasi gani
da nijipange, kumbe ni parefu hivyoBoabab form 1 hadi 4.46m
Hames 4.3m
Marian 3.8m
Hiyo hela ya kumsomesha mtoto kwenye hizo shule fanya kuziweka ili akitoka sent kayumba umfungulie biashara au mpeleke veta akachukue ujuzi. Ukishindwa kabisa tumia hizo hela kumnunulia noah awe anabeba abiria ajipatie kipatoWadau January ndiyo hiyo na interview za form 1 zimeanza. Naomba mwenye kujua school fees za:
1. BAOBAB
2. MARIAN
3. HAMES
Na kama una pendekezo la shule yenye schoo fees rafiki isiyozidi 2M kwa mwaka please tujuzane.
Au ushauri wowote kuhusu shule za Form 1
Hiyo hela ya kumsomesha mtoto kwenye hizo shule fanya kuziweka ili akitoka sent kayumba umfungulie biashara au mpeleke veta akachukue ujuzi. Ukishindwa kabisa tumia hizo hela kumnunulia noah awe anabeba abiria ajipatie kipato