Msaada Wa Ushauri: Supervisor wangu ni kilaza

Ukiajiriwa fata masharti unataka kumletea kiburi wakati huna hela? Au unataka akuchabange makofi na ukienda kushtaki polisi lockup uwekwe mwenyewe?
Ukiwa na njaa wewe hata ukionewa unatakiwa ukae kimya ukiongea tu unaonekana mkorofi ni wewe, umekubali kuwa mtumwa ishi kama watumwa wanavyotakiwa kuishi na usuvute mdomo
 


Huwezi jibu watu hivyo ukaachwa, usitudanganye Kaka zako, Hakuna office ya hivyo.
 
Nenda naye taratibu. Jenga ushahidi usio na mashaka kwanza. Uwe unamtumie emails kuthibitisha kuwa uko mahali fulani kwa ruhusa yake. Kwa mfano, tuma email nimefika salama kituo cha kazi ulichonituma. Vyovyote atajibu. Ziweke salama emails hizo. Fanya hivyo mara kwa mara.
 
πŸ˜… πŸ˜… πŸ˜… πŸ˜… Vijana wasije wakakuiga hii! Kuna taasisi ukileta haya mambo utajuta kuifahamu!
 
Kama hii ni kweli punguza Bangi mkuu
Utakuja kuaibisha Taifa
πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…