Mwanamke yeyote akiwa boss wako usijaribu kumuunderfear hata kidogo ukiweza mjibu kibabe na ukiona vipi siku mtongoze lengo akose confidence kwako .
Nilikuwa na mmama incharge alikuwa ana tuendesha sana kwenye kile kidepartment hasa kwa maneno ya ukali na amri zisizo na staha .
Basi siku moja nikaa bar nikawa na kikao na halmashauri ya kichwa changu juu yake , basi jibu likaja kuwa nikiendelea kumchekea kwa ukali mshenzi wake atanitesa sana , nikaamua kumuonesha kuwa simuogopi alafu sipendi kupelekeshwa kijinga .
Siku moja naingia job namalizia kusaini , naye ndiyo anafika eti ananiuliza kwahiyo siku hizi tunafika muda sawa ?
Nakumbuka nilimwambia wewe ulitakaje mrembo ? Kwanza akastuka mimi kumuita mrembo ilihali kwangu ni mmama , akasema unasemaje wewe mtoto nikasema una shida gani asubuhi hii yote mrembo ?
Nikaona walinzi na wafanyakazi wengine waliosikia majibizano yetu wakahamaki na yeye akakosa confidence akavunga akaenda ofisini kwake .
By saa nne kaniita ofisini kwake akiwa na Mfawidhi alafu akaanza kunichana kuwa pombe itaniharibia kazi , nikaona nimtolee uchovu nikamchana kipo napenda na kipi sipendi na pia nikahitaji awe na heshima kwa kauli zake ila kumalizia nikasema mimi nampenda sana na sitaacha kumtongoza .
Muda huo mfawidhi kakaa tu kimya anatusikiliza nacho kumbuka sikumaliza hata mwezi nikala uhamisho niko zangu huku na wanakijiji tunaenjoy pombe ya kienyeji ila yule bi mdashi hata tukutane wapi ananiheshimu sana .
Na hapendi hata tukae meza moja hata dakika kumi maana anahisi nitaanzisha ujinga.
Sent from my SM-J410F using
JamiiForums mobile app