Polyasi Mtangoo
Member
- Oct 13, 2016
- 30
- 39
Wewe ndiyo una matatizo unatakiwa umwambie ili awe na uhakika kwamba umetekeleza majukumu uliyo pangiwa, kumbuka hata yeye kuna watu wapo juu yake ana weza kuulizwa akakosa majibu kwa sababu hana uhakika hilo lina weza kupelekea kuhalibu kazi yake wewe mpe ushirikiano na umusome anavyo taka.Huyu mwanamke ni kituko kweli. Ana zaidi ya miaka 10 kwenye hii taasisi na amekuwa akipandishwa vyeo lakini kwa ufupi ni kilaza/kiazi na mwenye majivuno yasiyo na maana yoyote.
Anaweza akakupa tasks za field halafu ukienda field anakupigia simu anakuuliza upo wapi mbona haupo ofisini! Ukimuambia nipo field anakuuliza wakati wa kwenda umemuaga nani! Ukimuambia ulini assign tasks mwenyewe anakuambia ndiyo najua ila wakati unatoka ofisini ulipaswa uni consult! Mtu unabaki unajiuliza anamaanisha nini! Matukio ya kukwaza na kushangaza ni mengi.
Nimemvumilia sana, sasa natamani nimjibujibu ili aache kunihangaisha ila nawaza anaweza kuniharibia CV yangu. Naomba ushauri wakuu.
Rule no 1 never outshine your master.Huyu mwanamke ni kituko kweli. Ana zaidi ya miaka 10 kwenye hii taasisi na amekuwa akipandishwa vyeo lakini kwa ufupi ni kilaza/kiazi na mwenye majivuno yasiyo na maana yoyote.
Anaweza akakupa tasks za field halafu ukienda field anakupigia simu anakuuliza upo wapi mbona haupo ofisini! Ukimuambia nipo field anakuuliza wakati wa kwenda umemuaga nani! Ukimuambia ulini assign tasks mwenyewe anakuambia ndiyo najua ila wakati unatoka ofisini ulipaswa uni consult! Mtu unabaki unajiuliza anamaanisha nini! Matukio ya kukwaza na kushangaza ni mengi.
Nimemvumilia sana, sasa natamani nimjibujibu ili aache kunihangaisha ila nawaza anaweza kuniharibia CV yangu. Naomba ushauri wakuu.
Yule maza kama chotara mbona anaonekana mpole 😆😂 ulitaka kumkanda makofiHahaha,Neema Nassary
Mimi niliyetaka kumtwanga makofi mbele ya MD Mugambi ni Head wa HR Veronika Kahama
Usipoteze muda kuandika Referee sijui nani na nani,andika watu watatu ambao hata hawa-exist,kisha tengeneza Email zao mfano darmbeya@yahoo.com na mwingine kulwadoto@gmail.com nk kisha ziweke pale ndio referee wako,mwajiri akituma Email means Email unaipata mwenyewe na kujijazia Kisha unawarudishia,simple tuNje ya mada: kwa wale walioko katika lane ya kutafuta ajira, hakiki mara tatu tatu referee unaemuandika. Budda kama unasoma hapa nisamehe;
Kuna jamaa mmoja ameomba kazi shirika la watu wa nchi flani. Sasa interview process ikaenda kama miezi 3. Baadae akaja kupewa feedback amekosa wameamua kuproceed na a better option. Sasa akapata courage ya kuuliza kwanini ili ajirekebishe labda. Akajibiwa, shida imekuja kwenye recommendation letters. Mbili kati ya tatu zimempondea. Lakin kwa madai yake ni watu ambao alikua na ujamaa nao mzuri tu. Na aliwapa taarifa kuwa watatafutwa wakamwambia hata usijali, ondoa shaka!! Lakin ndo akatumiwa barua na yule HR, waliyokuwa wameyaandika ni disaster. Akasema acha aprove tena, akampanga mtu kwamba ajifanye recruiter, apige simu kwa mmoja wa hao referee. Akapondwa vibaya mno. Sisemi hakuwa at fault, nasema mjue referee wako vizuri....ni hilo tu!!!
Ulizaliwa lini kaka hadi unashindwa kujiongeza, yaani hujui kabisa hiyo manzi inataka nini kwako, dah!!!Huyu mwanamke ni kituko kweli. Ana zaidi ya miaka 10 kwenye hii taasisi na amekuwa akipandishwa vyeo lakini kwa ufupi ni kilaza/kiazi na mwenye majivuno yasiyo na maana yoyote.
Anaweza akakupa tasks za field halafu ukienda field anakupigia simu anakuuliza upo wapi mbona haupo ofisini! Ukimuambia nipo field anakuuliza wakati wa kwenda umemuaga nani! Ukimuambia ulini assign tasks mwenyewe anakuambia ndiyo najua ila wakati unatoka ofisini ulipaswa uni consult! Mtu unabaki unajiuliza anamaanisha nini! Matukio ya kukwaza na kushangaza ni mengi.
Nimemvumilia sana, sasa natamani nimjibujibu ili aache kunihangaisha ila nawaza anaweza kuniharibia CV yangu. Naomba ushauri wakuu.
2. Make sure you read the mind of your masterRule no 1 never outshine your master.
Amekuona bado wewe ni mtoto unahitaji kuchungwachungwa.Ila ambavyo unamkosea adabu unamuita kilaza.Kwa ufupi anakufundisha nidhamu ya kazi na kufuata utaratibu.Utajua tu kwamba hujui.Huyu mwanamke ni kituko kweli. Ana zaidi ya miaka 10 kwenye hii taasisi na amekuwa akipandishwa vyeo lakini kwa ufupi ni kilaza/kiazi na mwenye majivuno yasiyo na maana yoyote.
Anaweza akakupa tasks za field halafu ukienda field anakupigia simu anakuuliza upo wapi mbona haupo ofisini! Ukimuambia nipo field anakuuliza wakati wa kwenda umemuaga nani! Ukimuambia ulini assign tasks mwenyewe anakuambia ndiyo najua ila wakati unatoka ofisini ulipaswa uni consult! Mtu unabaki unajiuliza anamaanisha nini! Matukio ya kukwaza na kushangaza ni mengi.
Nimemvumilia sana, sasa natamani nimjibujibu ili aache kunihangaisha ila nawaza anaweza kuniharibia CV yangu. Naomba ushauri wakuu.
Siyo kweliWanawake lao jiko!
Haya mambo mengine wanalazimisha tu
Sio mpole,alikuwa anaonea sana wajingawajinga,kwangu ilikuwa chupuchupu nimkate makofi mbele ya MD MugambiYule maza kama chotara mbona anaonekana mpole [emoji38][emoji23] ulitaka kumkanda makofi
Ungemzimisha mama wa watu 😄Sio mpole,alikuwa anaonea sana wajingawajinga,kwangu ilikuwa chupuchupu nimkate makofi mbele ya MD Mugambi
Nenda kwenye hiyo Kampuni kaulize,sijawahi kuwa mnyonge tangu natoka tumboni kwa Mama yanguHuwezi jibu watu hivyo ukaachwa, usitudanganye Kaka zako, Hakuna office ya hivyo.