Msaada Wa Ushauri: Supervisor wangu ni kilaza

Sijui kwa undani kuhusu huyu Boss wako, ila haya maelezo yake yapo sahihi kwa asilimia kubwa.

Sawa amekupa Task ila pia lazima pawepo na utaratibu wa kuondoka ofisini na kuwa nje ya kituo cha kazi.

Mara nyingi wasimamizi ndio wanatoa go ahead ya jambo lililo kwenye himaya zao, unaweza kukuta kakupa task, ghafla mambo yakaingiliana na akabadili hiyo Task. Je kama ndio umeondoka kama unavyodai hapa bila yeye kujua na hayo mabadiliko ndio yametokea, itakuwaje?
 

Mtie Vocal
 

Mbona kama vile wewe ndo kilaza?
 
[emoji23][emoji23][emoji23] kubabake

Nouma sana

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
fuata maelekezo ya boss, njaa ndo ilikupeleka hapo
 
Umezingua, ungempa ushauri afanye kama vile ulivyomfanyia boss wako akikuonaga na mademu wakali baada ya kuwa too much

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 

Kua na msimamizi mwanamke ni changamoto!!
Ni wachache sana wako vizuri
 
Hahaha,Neema Nassary
Mimi niliyetaka kumtwanga makofi mbele ya MD Mugambi ni Head wa HR Veronika Kahama
Wow! Veronica Kahama yupo wapi kwa sasa? Warembo wa enzi zetu. Namkumbuka wakati anasoma Jangwani kama sikosei 88 au 89 ile akichukua mchepuo wa PCM.
Mara ya mwisho namuona alikua Standard Chartered.
Miaka inakimbia! Huzuni.
 
Vilaza wa hivyo wapo wengi sana
 
Nilikuwa na supervisor alikuwa ananiheshimu sana na siku Moja akanambia kama sintojali siku Moja tukatembee mahala mbali na chuo nikamwambia sawa, siku ya siku tukaenda tulipiga stori nyingi za maisha.

Nikamtongoza akagoma siku ya graduation akanambia ana jambo nikamwona akanambia yupo tayari kunipa ninachohitaji basi tukaenda sehem tukajificha siku 2 Kisha akanambia wakati ule alikataa kwakuwa alikuwa na mahusiano na head of dpt hivyo angegundua nisingegraduate basi NAMI nikajiondokea zangu bila mbambamba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…