uttoh2002
JF-Expert Member
- Feb 3, 2012
- 17,060
- 32,400
Nenda kwenye hiyo Kampuni kaulize,sijawahi kuwa mnyonge tangu natoka tumboni kwa Mama yangu
Labda kama ni ya kwako au umewaloga.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nenda kwenye hiyo Kampuni kaulize,sijawahi kuwa mnyonge tangu natoka tumboni kwa Mama yangu
Sijui kwa undani kuhusu huyu Boss wako, ila haya maelezo yake yapo sahihi kwa asilimia kubwa.Anaweza akakupa tasks za field halafu ukienda field anakupigia simu anakuuliza upo wapi mbona haupo ofisini! Ukimuambia nipo field anakuuliza wakati wa kwenda umemuaga nani! Ukimuambia ulini assign tasks mwenyewe anakuambia ndiyo najua ila wakati unatoka ofisini ulipaswa uni consult!
Huyu mwanamke ni kituko kweli. Ana zaidi ya miaka 10 kwenye hii taasisi na amekuwa akipandishwa vyeo lakini kwa ufupi ni kilaza/kiazi na mwenye majivuno yasiyo na maana yoyote.
Anaweza akakupa tasks za field halafu ukienda field anakupigia simu anakuuliza upo wapi mbona haupo ofisini! Ukimuambia nipo field anakuuliza wakati wa kwenda umemuaga nani! Ukimuambia ulini assign tasks mwenyewe anakuambia ndiyo najua ila wakati unatoka ofisini ulipaswa uni consult! Mtu unabaki unajiuliza anamaanisha nini! Matukio ya kukwaza na kushangaza ni mengi.
Nimemvumilia sana, sasa natamani nimjibujibu ili aache kunihangaisha ila nawaza anaweza kuniharibia CV yangu. Naomba ushauri wakuu.
Akienda ndan...utamsaidia kulea familia yake??Muwashe vibao

[emoji23][emoji23][emoji23] kubabakeMwanamke yeyote akiwa boss wako usijaribu kumuunderfear hata kidogo ukiweza mjibu kibabe na ukiona vipi siku mtongoze lengo akose confidence kwako .
Nilikuwa na mmama incharge alikuwa ana tuendesha sana kwenye kile kidepartment hasa kwa maneno ya ukali na amri zisizo na staha .
Basi siku moja nikaa bar nikawa na kikao na halmashauri ya kichwa changu juu yake , basi jibu likaja kuwa nikiendelea kumchekea kwa ukali mshenzi wake atanitesa sana , nikaamua kumuonesha kuwa simuogopi alafu sipendi kupelekeshwa kijinga .
Siku moja naingia job namalizia kusaini , naye ndiyo anafika eti ananiuliza kwahiyo siku hizi tunafika muda sawa ?
Nakumbuka nilimwambia wewe ulitakaje mrembo ? Kwanza akastuka mimi kumuita mrembo ilihali kwangu ni mmama , akasema unasemaje wewe mtoto nikasema una shida gani asubuhi hii yote mrembo ?
Nikaona walinzi na wafanyakazi wengine waliosikia majibizano yetu wakahamaki na yeye akakosa confidence akavunga akaenda ofisini kwake .
By saa nne kaniita ofisini kwake akiwa na Mfawidhi alafu akaanza kunichana kuwa pombe itaniharibia kazi , nikaona nimtolee uchovu nikamchana kipo napenda na kipi sipendi na pia nikahitaji awe na heshima kwa kauli zake ila kumalizia nikasema mimi nampenda sana na sitaacha kumtongoza .
Muda huo mfawidhi kakaa tu kimya anatusikiliza nacho kumbuka sikumaliza hata mwezi nikala uhamisho niko zangu huku na wanakijiji tunaenjoy pombe ya kienyeji ila yule bi mdashi hata tukutane wapi ananiheshimu sana .
Na hapendi hata tukae meza moja hata dakika kumi maana anahisi nitaanzisha ujinga.
Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
fuata maelekezo ya boss, njaa ndo ilikupeleka hapoHuyu mwanamke ni kituko kweli. Ana zaidi ya miaka 10 kwenye hii taasisi na amekuwa akipandishwa vyeo lakini kwa ufupi ni kilaza/kiazi na mwenye majivuno yasiyo na maana yoyote.
Anaweza akakupa tasks za field halafu ukienda field anakupigia simu anakuuliza upo wapi mbona haupo ofisini! Ukimuambia nipo field anakuuliza wakati wa kwenda umemuaga nani! Ukimuambia ulini assign tasks mwenyewe anakuambia ndiyo najua ila wakati unatoka ofisini ulipaswa uni consult! Mtu unabaki unajiuliza anamaanisha nini! Matukio ya kukwaza na kushangaza ni mengi.
Nimemvumilia sana, sasa natamani nimjibujibu ili aache kunihangaisha ila nawaza anaweza kuniharibia CV yangu. Naomba ushauri wakuu.
Umezingua, ungempa ushauri afanye kama vile ulivyomfanyia boss wako akikuonaga na mademu wakali baada ya kuwa too muchUkiajiriwa fata masharti unataka kumletea kiburi wakati huna hela? Au unataka akuchabange makofi na ukienda kushtaki polisi lockup uwekwe mwenyewe?
Ukiwa na njaa wewe hata ukionewa unatakiwa ukae kimya ukiongea tu unaonekana mkorofi ni wewe, umekubali kuwa mtumwa ishi kama watumwa wanavyotakiwa kuishi na usuvute mdomo
Mi baada ya kufanya vile ilibaki kidogo nisimamishwe kazi kwa kosa la kutishia viongoziUmezingua, ungempa ushauri afanye kama vile ulivyomfanyia boss wako akikuonaga na mademu wakali baada ya kuwa too much
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Huyu mwanamke ni kituko kweli. Ana zaidi ya miaka 10 kwenye hii taasisi na amekuwa akipandishwa vyeo lakini kwa ufupi ni kilaza/kiazi na mwenye majivuno yasiyo na maana yoyote.
Anaweza akakupa tasks za field halafu ukienda field anakupigia simu anakuuliza upo wapi mbona haupo ofisini! Ukimuambia nipo field anakuuliza wakati wa kwenda umemuaga nani! Ukimuambia ulini assign tasks mwenyewe anakuambia ndiyo najua ila wakati unatoka ofisini ulipaswa uni consult! Mtu unabaki unajiuliza anamaanisha nini! Matukio ya kukwaza na kushangaza ni mengi.
Nimemvumilia sana, sasa natamani nimjibujibu ili aache kunihangaisha ila nawaza anaweza kuniharibia CV yangu. Naomba ushauri wakuu.
Ameolewa juzi. Kabla ya hapo, mume wake wa kwanza alifariki akamuachia watoto wawiliNje ya mada
Ameolewa?
Ana mtoto?
Uhakika wa kufurahia nyumba anao?
Ili nijiongeze kutokea hapo...teh teh teh
Nilifika ofisini nikachukua vitendea kazi akiwa ananiona nikaondokaKwani kuna tatizo gani kumwambia boss mi ndio natoka.
Wow! Veronica Kahama yupo wapi kwa sasa? Warembo wa enzi zetu. Namkumbuka wakati anasoma Jangwani kama sikosei 88 au 89 ile akichukua mchepuo wa PCM.Hahaha,Neema Nassary
Mimi niliyetaka kumtwanga makofi mbele ya MD Mugambi ni Head wa HR Veronika Kahama
Ndugu yangu, mtumikie KAFIRI upate ujira wako.Nilifika ofisini nikachukua vitendea kazi akiwa ananiona nikaondoka
Vilaza wa hivyo wapo wengi sanaHuyu mwanamke ni kituko kweli. Ana zaidi ya miaka 10 kwenye hii taasisi na amekuwa akipandishwa vyeo lakini kwa ufupi ni kilaza/kiazi na mwenye majivuno yasiyo na maana yoyote.
Anaweza akakupa tasks za field halafu ukienda field anakupigia simu anakuuliza upo wapi mbona haupo ofisini! Ukimuambia nipo field anakuuliza wakati wa kwenda umemuaga nani! Ukimuambia ulini assign tasks mwenyewe anakuambia ndiyo najua ila wakati unatoka ofisini ulipaswa uni consult! Mtu unabaki unajiuliza anamaanisha nini! Matukio ya kukwaza na kushangaza ni mengi.
Nimemvumilia sana, sasa natamani nimjibujibu ili aache kunihangaisha ila nawaza anaweza kuniharibia CV yangu. Naomba ushauri wakuu.
Mvumilie mwezi huu mmoja usijaliAmeolewa juzi. Kabla ya hapo, mume wake wa kwanza alifariki akamuachia watoto wawili