Msaada wajumbe: Nataka nimshitaki Baba yangu mzazi, sheria ipi nitumie?

Bora wewe una nafuu Mimi baba yangu mzazi aliniambia hawezi kunisomesha Wala hategemei Mimi kuja kumsaidia ,Kwanza ana watoto wengi.Nanikifanikiwa Sana ntakuwa kuli stendi ya mabasi.Bado najikongoja na hatuna stori mpaka kufa.


Usijaki na hayo maneno mkuu wewe soma au fanya kazi kwa bidii ...mie ukinikatisha tamaa unaniongezea Sana akili ya kutafuta aisee..usiumie Tena tabasam
 
nipo bc iyo kaz yoyote mkuu maana mpaka now nimepamban kusaka Mishe bado sion ndio maana nimeonanimgeukia mzee anipe hata laki 8 ninunue boda used ndio ivyo nae kazingua
 
😂😂😂😂 Kaazi kwelikweli
 
acha kukalili nani kasema Mimi ninduguyake? Mimi nimtoto ake sio ndugu yake soma vizur. Nina haki ya kulisi kama hao watoto wengine alio walisisha
UNA UHAKIKA GANI KAMA WEWE NI MTOTO WAKE
rudi kwa Mama yako mwambie akueleze ukweli hata Kadi ya Kliniki akuoneshe maana inaonekana wewe ni miaka ya 1990 kuja 2000, na DNA siku hizi hifiki laki moja
sheria zipo ukipata vitu hivyo fika POLISI kweny Desk la Jinsia watakuelekeza na wazazi wako wataitwa hata km kuna Baba mwingine utaoneshwa
Mm yamenikuta kuna Mama mmoja kanichanganyia mtoto na jirani wamenitonya sio wangu, kuomba tupime DNA ya kwangu, Mama na Mtoto huyo kakataa
nakushauri tafuta mali kwa njia nyingine huyo mzee msamehe kwa faida ya mama
 
Dah....mwanangu...njoo PM tuyajenge [emoji2960]
[/QUOTE sawa mkuu ilasijui kamanitaweza kuja pm maana natumia Free basics au nitafute kwenye naomba hiyo Bos wang 0625769617
 
nanzia wp mkuu akat sina sehem yoyote yakwanzia
 
Mzazi kumpa Urithi mtoto sio lazima.
Hivi unadhani kila mwanachuo anategemea wazazi?

Afu ujue kutofautisha mwanafunzi na mwanakijiji.

Nakuuliza swali. Hivi mzazi kumpa mtoto urithi ni lazima?
Ila kabla hajaamua kumnyima huo urithi, NI LAZIMA AHALIKISHE WAJIBU WAKE KWA HUYO MTOTO ALIUTIMIZA KISAWASAWA???? JE MTOTO ALUPATA HAKI ZAKE ZOTE ZA MSINGI?


Kisha ndo aamue kumnyima... Sasa kwa Baba km huyu mdogo, , ni Baba au utopolo?????.

Ndio maana namm nasisitiza hapa, yeye asitafute urithi, bali atafute kitu kitakachomsaidia kama seh ya Kukoswa malezi ya kihali na mali toka kwa Baba.


Kuna wakati PAUL MAKONDA, alikua sahihi kypambana na Wanaume matopolo wenye kazi ya kutungisha mimba na kuzikataa.
 
Duh🤨
 
ndio mkuu nimekubal kuwa Mimi sina shea lakin nihak kwel Mimi ninyiwe hata mtaji wa boda bod kwel akat naona watoto wengine wanapewa nyumba wengine magar
Inaonekana mama ndo anakupum ujinga huu...jamani waelimishen watoto wenu...! Tafuta chako umtunze mama fulstop.
In
 
Wajuvi wa Sheria, msaidieni huyu kijana sawasawa na mahitaji yake.
nanzia wp mkuu akat sina sehem yoyote yakwanzia
Fika Kituo chochote cha POLISI hasa wilaya kuna Kitengo cha DAWATI LA JINSIA
wataitwa wote na ukweli utajulikana, pakitokea utata wote watatu Baba Mama mshukiwa na mtoto watapimwa DNA bure
la sivyo mtoto atafute 100,000. awapime DNA wote na hii ni baada ya Mama kutoa ukweli
 
Mwanaume halisi ni yule anaetambua kusudi la yeye kuzaliwa . Kitendo baba yako kukuweka kwa mama na ukazaliwa ni urisi tosha sasa nenda kashitaki wakujie kivingine
Ningekushauli iyo pesa unayonunua Mb/bando kila siku uwekeze itazaa na baba atakuja kulelewa kwako nando msamaha bola kuliko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…