nipe bas iyo kaz ya udereva mkuu kama nilahis2 kupatamkuu ukimchokonoa sana atakuja kukwambia sababu ya kukupotezea ndio utaumia zaidi we achana nae tafuta zako mbona michongo mingi tu mjini kwa elimu yako inaonekana ya magumashi tafuta kazi hata ya udereva utatoboa
Umeshauriwa hapa kuwa tayari umekwishavuka umri wa kuwa tegemezi, sasa ni zamu yako kumsaidia na kumlea huyo baba yako.haina haja hata DNA yan hata nikiweka picha hapa yakwangu na yababa huwez kutofautisha jins alivyo nilandisha
Mzazi kumpa mtoto urithi inategemea imani au umetumia sheria gani.Hivi unadhani kila mwanachuo anategemea wazazi?
Afu ujue kutofautisha mwanafunzi na mwanakijiji.
Nakuuliza swali. Hivi mzazi kumpa mtoto urithi ni lazima?
Yes, ana haki.Mkuu mimi sio muislamu lakini najua kwa Islamic mtoto wa nje ya ndoa hana haki ya urithi
wewe wenzako wakati tunaenda shule wewe ulikua unawinda ndege porini saizi unavuna ulichopandanani kakwambia shule nilikataa acha kuongea kwa kukalili pumbav. Ipo sababu ambayo ilifanya nisiendelee na shule na chazo ni baba ila stak kuizungumzia
Sasa hili si umfuate tu umuulize ana kwa ana,na yeye ndiyo mwenye Mali atakupa majibu, ambayo unatakiwa urizike nayo! Huko Mahakamani utapoteza muda na pesa, hakuna cha bure huko zitakutoka hata za chai za Vibandani wakati unasubiri faili lako litafutwe!!sawa ngoja niende bas mahakaman ili akanipe sababu za kutokunipa nawengine kuwapa
Kwa kiislam mtoto wa nje ya ndoa hana haki sio anahaki namaanisha hanaaa chakeYes, ana haki.
Ila hili tokeo la baba wa hovyo, kilichomtokea mtoa mada ni huyo baba utopolo.
Nilimaanisha hana chake kiislam, sijui huko kiserikali.Kwa kiislam mtoto wa nje ya ndoa hana haki sio anahaki namaanisha hanaaa chake
Hata kisheria urithi ni na wosia wa mzazi ni siri ya mtoa wosia sasa huyu dogo amejuaje nyaraka za urithi wa babaake?
Nenda kwanza kamshitaki Baba yako kwa Baba yake au Mama yake Kama bado wapo,maana hao Kama wanakutambua basi umetoboa kirahisi!!alio wapa magar na nyumba niwakubwa zaid kwangu
Kwa mtu ambae sio mwanafunzi utegemezi kwa mzazi mwisho miaka 18 basiNilimaanisha hana chake kiislam, sijui huko kiserikali.
Ila mwisho nitaendelea kumpa lawama huyo mzee zao la yote haya ni upuuzi wake alioufanya miaka 24 nyuma kiimani tunasema kamdhurumu huyu mtoto.
Sasa mtoto anakuwa hana haki kwa kosa silake zinaa za mtu mwengine.
Ila Sasa na wwe usije aanza kuwachikia ndg zako kisa Baba kawapa Mali! Wwe mbaya wako ni huyo father wako aliyekutema kwenye mgawanyo wa Mali!! Au anaweza kua anakusoma kwanza akili zako Kama zimekomaa unajua nini unachotaka kufanya au unafuata mkumbo wa Vijana wenzio mtaani!!alio wapa magar na nyumba niwakubwa zaid kwangu
hiyo kaz ya bajaj ndio iliyokuwa naifanya mwez wa 6 nilivamiwa nikapolwa bajaj co kilichofwata nikuuza kila ki2 nilicho nacho nkumlipa mwenyewe bajij yan mpaka now npo2 cna chochote chakuanziaMbona unakuwa na lugha iliyokosa ustaarabu,jitahidi kureact bila maneno km pumbavu nk,
Mimi nakushauri achana na huyo mzee wako,jichanganye na vijana wa bajajj,jifu nze kuendesha,baada ya muda utakuwa miongoni mwa waendesha bajaji( za watu)
baada ya muda tena utakuwa mmiliki wa bajaj.
Kufuatilia sana hizo mali kwaweza kukuingiza ktk shida na migogoro ,kupoteza muda mwingi,uadui nk
Jamaa ajalilia utegemezi kaomba Backup support hata uwe Hustle kihasi gani Backup support ni kitu cha kawaida sana.Kwa mtu ambae sio mwanafunzi utegemezi kwa mzazi mwisho miaka 18 basi
Sasa huyu ana miaka 24 na sio mwanafunzi anacholalamika ni nini?
Anasema kaka zake wamepewa magari, jee anajua hayo magari wamechangia vipi katika kuyatafta?
Yaani mke na watoto wametoka jasho na damu kutafta mali afu wewe uje simple tu eti na mimi nipeni bodaboda kisa wao wana magari! Are you serious kweli?
Mkuu vyema ukamakinika na mtu kaandika nini.Nani aliekwambia msaada unaombwa mahakamani?
mkuu kuna utajiri wa punje ule kwa mwandulame njombe jalibu huo unaweza kutusuahiyo kaz ya bajaj ndio iliyokuwa naifanya mwez wa 6 nilivamiwa nikapolwa bajaj co kilichofwata nikuuza kila ki2 nilicho nacho nkumlipa mwenyewe bajij yan mpaka now npo2 cna chochote chakuanzia
Hujajibu swali, je ulitafuta nae hizo mali mpaka umlazimishe akupe?kwani hao alio walisisha alitafuta nao au umeandika2 ilimlad nawewe uonekane umechangia