ni dawa kiboko ya fangasiNi nini hii?
Maradhı ya fungus,UTI,typhoid,Maradhi ya Pumu,Maradhi ya Kisukari, Vidonda vya Tumbo na Maradhi ya Malaria, Maradhi hayo yote yamekuwa ni Maradhi sugu kwa Dawa za Hospitali huwezi kupona hata ukitumia dawa kwa muda wa mwaka mmoja utakuwa unapata nafuu sio kupona kabisa.Dawa ya kuweza kutibu hayo maradhi mimi ninayo ukihitaji dawa toka kwangu nitafute kwa wakati wako nitaweza kukutibia kwa siku 30 na utapona kabisa. Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Herbalist Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe.fewgoodman@hotmail.com What's App na Viber +905344508169 Au Ni add Kwa Facebook tumia jina hili mzizimkavu.Habari zenu ,
Pumbu zinawasha washa has a nikioga mchana. Sijui hizi fungus gani nimejaribu kila dawa ya fungus but huwa napona tu kwa muda then tatizo linarudi pale pale. Wakati mwingine nikienda baadhi ya mikoa nasahau kabisa hili tatizo. Msaada wenu wakuu
Tumia dawa na usitumie tena boxer zako za zamani uzitupe na ununue zingine.Habari zenu ,
Pumbu zinawasha washa has a nikioga mchana. Sijui hizi fungus gani nimejaribu kila dawa ya fungus but huwa napona tu kwa muda then tatizo linarudi pale pale. Wakati mwingine nikienda baadhi ya mikoa nasahau kabisa hili tatizo. Msaada wenu wakuu
Hili tatzo lipo kwa watu wengi..!! Cha kukushaur hapo ni kwamba tumia sabuni ya magadi na epuka kuvaa nguo zilizokubana hasa boxer vaa pens pekee yake kwa sababu tatzo hilo linasababishwa na jotoHabari zenu ,
Pumbu zinawasha washa has a nikioga mchana. Sijui hizi fungus gani nimejaribu kila dawa ya fungus but huwa napona tu kwa muda then tatizo linarudi pale pale. Wakati mwingine nikienda baadhi ya mikoa nasahau kabisa hili tatizo. Msaada wenu wakuu
Ha ha ..hadi kisukari,Maradhı ya fungus,UTI,typhoid,Maradhi ya Pumu,Maradhi ya Kisukari, Vidonda vya Tumbo na Maradhi ya Malaria, Maradhi hayo yote yamekuwa ni Maradhi sugu kwa Dawa za Hospitali huwezi kupona hata ukitumia dawa kwa muda wa mwaka mmoja utakuwa unapata nafuu sio kupona kabisa.Dawa ya kuweza kutibu hayo maradhi mimi ninayo ukihitaji dawa toka kwangu nitafute kwa wakati wako nitaweza kukutibia kwa siku 30 na utapona kabisa. Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Herbalist Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe.fewgoodman@hotmail.com What's App na Viber +905344508169 Au Ni add Kwa Facebook tumia jina hili mzizimkavu.
Amen RaThank you
Hii ya septrini na baby care ndio mpango mzima, uzi huu hata mm niliuona humu na ni kweli unaponeshaKwani na wewe umetumia imekusaidia??
Broo umenichekesha sana, pole we tumia septrine hizo na baby care mafutaNi pumbu eeh,linawasha kinoma..hapa nilipo nalikuna kuna tu
Hapo nilipohighlight ndo kwenye tatizo, angalia mazingira na hali ya hwewa unapoishi,mi nahisi itakuwa Dar hiyo inaitwa pumbu erosion jitahidi kuwa unaenda kuogelea baharini japo mara 3 kwa wiki na hizo pumbu zikaushe vizuri kabisa pasiwe na unyevunyevu wowote. madawa yatakuingiza gharama bure tu kama hujatatua chanzo cha tatizo.Habari zenu ,
Pumbu zinawasha washa has a nikioga mchana. Sijui hizi fungus gani nimejaribu kila dawa ya fungus but huwa napona tu kwa muda then tatizo linarudi pale pale. 'Wakati mwingine nikienda baadhi ya mikoa nasahau kabisa hili tatizo'. Msaada wenu wakuu