Msaada Wenu: Uliwezaje kupita salama mpaka Ndoa kwenye Mapenzi ya namna hii?

Msaada Wenu: Uliwezaje kupita salama mpaka Ndoa kwenye Mapenzi ya namna hii?

Ndoto yako ya kumuoa inaweza kutimia bila shaka lakini nikwambie tu ukweli huko chuoni ni lazima "Aipanue" kwa msela mwengine.
Miaka 5 si mchezo mkuu na visichana vya chuo vilivyo na tabia ya kuringishiana ma BAE viwapo chuoni sidhani kama atasalimika!!
 
Ndoto yako ya kumuoa inaweza kutimia bila shaka lakini nikwambie tu ukweli huko chuoni ni lazima "Aipanue" kwa msela mwengine.
Miaka 5 si mchezo mkuu na visichana vya chuo vilivyo na tabia ya kuringishiana ma BAE viwapo chuoni sidhani Kama atasalimika!!
Daah aisee, unanipa ukweli mkuu ila ukweli unanitisha sana.
 
Sasa mkuu hiyo mbona simple tu? Aliekwambia akienda chuo huwezi kumuoa kwa sasa ni nani?

Zungumza naye, plan ziendelee then mfunge ndoa as soon as possible

Pia jitahidi mzae hata mtoto mmoja. Kuna vitu vinashikilia mahusiano, japo sio mara zote na sio guaranteed. Ila mkiamua kufunga ndoa na kuzaa kwa hiari yenu nyote maana yake nyote mnacommitment ya kudumu pamoja.

Anyways, mengine ni kudra za Mungu. Nikutakie heri. Ombeni na muwe na nia njema.
 
Sasa mkuu hiyo mbona simple tu? Aliekwambia akienda chuo huwezi kumuoa nani?

Zungumza natye, plan ziendelee then mfunge ndoa.

Pia jitahidi mzae hata mtoto mmoja. Kuna vitu vinashikilia mahusiano, japo sio mada zote na sio guaranteed. Ila mkiamua kufunga ndoa na kuzaa kwa hiari yenu ntote maana yake nyote mnacommitment ya kudumu pamoja.

Anyways, mengine ni kudra za Mungu. Nikutakie heri. Ombeni na muwe na nia njema.
Asante mkuu na ubarikiwe sana sana
 
Mkuu mimi ningependa kujua kwanza huko chuo gharama zote ikiwemo na ada nani anahusika kulipa
Then ushauri wangu utatokana na jibu lako
 
Hongera Sana
Pole Sana
Jambo Lako Ni Gumu Sana Uchaguzi Mkuu Uliopita
Hapo Sasa Hivi Mpe Nafasi Asome, Weka Win Win Situation
 
Hatari Sana
Oa mapema nimesoma afya ninafundisha chuo cha afya najua michezo iliyopo
Nakuonea huruma kijana
Jitahidi umuoe mapema huyo mwanamke atakugeuka huwez amini
Dawa muoe faster nendeni hata mahakaman
Duh aisee, asante mkuu kwa ushauri wako..
 
Hapo mzee huyo binti kukuacha ni ngumu kuna mengi yanayowaunganisha japo wasiwasi ndo akili.

Fanya umuoe tu hata kama yupo chuo au tanguliza hata uchumba kwao ili ajue uko serious.
asante mkuu kwa kunipa moyo, ubarikiwe
 
"Out of sight out of mind"(Fimbo ya mbali haiui nyoka). Hiyo ndoa, mtakayo funga itazidiwa na sogea tukae. Tarajia kulia muda si mrefu. Tafuta mwingine uoe, mtaka nyingi nasaba ufika na mwingi msiba. Msiba wa kujitakia hauna matanga. Pole, ila huo ndiyo ukubwa wenyewe. Uzoefu ni mwalimu mzuri ila anaumiza.
 
I will just say this,hii michezo haina formula ndugu yangu,
Anaweza kua nawe miaka yote hiyo still akawa anacheat na mtu miaka hata 3 mfululizo na still bado yupo nawe au viceversa and vilevile anaweza akawa katulia tuli anasubiri ndoa.
But kwa my experience mwanamke ikshapita muda fulan hujamuoa anakua na exit strategy plan,chochote ktakachotokea hta ukmbwaga fresh.
Tatizo inorder ya kua na hii plan lazima itamhusisha mwanaume mwingine [emoji28][emoji28]..
Anyway una mtihani ila kama vipj muoe tu
 
Back
Top Bottom