Kennedy
Platinum Member
- Dec 28, 2011
- 62,832
- 77,037
Ndiyo Ukweli WenyeweAu nasema uongo ndugu zangu

Mmefanikiwa kupata mtoto maana miaka nane sio mchezo
Miaka nane yote hiyo ulishindwa kumtia mimba? Hovyo kabisa! Inatakiwa umkeep bize na malezi! Miaka hiyo 5 awe na watoto watatu!Habarini za jumapili ndugu zangu,
Naombeni niende moja kwa moja kwenye kiini cha swala linalonikabili ambalo kwa namna moja au nyingine nahitaji ushauri wenu, nina girlfriend wangu tuna zaidi ya miaka 8 kwenye mahusiano, tumepita ups & down za hapa na pale, familia yake wananifahamu, mwenzangu kwenye elimu alipitia ups and down pia, maana baada ya kumaliza kidato cha sita (PCB) hakufanikiwa kusonga mbele, akataka kwenda kusoma mambo ya technolojia (IT) nikamkatalia kabisaa nikamuambia anapaswa kuipigania ndoto yake, nikamshauri aende kusoma diploma ya clinical medicine, alinisikiliza na akafanya hivyo, na atimaye mwaka jana alimaliza chuo, na kupata sehemu ya kujishikiza....siku zote tumekuwa tukihishi kwa amani kabisaa.
Mwanzoni mwa mwaka huu niliongea nae mwenzangu kuwa mwakani tuanze proccess za kufunga ndoa, kama sio mwakani basi iwe mwanzoni mwa mwaka 2022 (kama itatokea changamoto zozote) tukakubaliana ivyo, na nikajua kiasi cha maali ambacho kwao wanaweza nitoza (taarifa za maali kwa upande wa familia yao niliambiwa na dada yake ambaye tayari amesha olewa yeye)
Mwaka huu aliniomba kuwa anaona arudi chuo ili amalizie elimu yake kwa ngazi ya degree, nililizia ombi lake na mimi mwenye nikamfanyia application vyuo 4 (nilichagua vyuo ambavyo nitaweza kuwa nae karibu) vyote vya course ya MD-MEDICAL DOCTOR, matokeo ya selection ya kwanza hakupata, selection ya pili hakupata, selection ya tatu ikabidi nimuongee vyuo vyote ambavyo niliviacha hapo mwanzo jumla tukawa tumeomba vyuo 8 na vyote hakupata kwa selection ya 3 na ya mwisho.
Basi baada ya selection zote kumalizika na hatukupata chuo chochote, nikamuomba aendelee na kazi tu pale huku tukipanga mipango yetu mingine ya maisha,
SABABU YA KUANDIKA HUU UZI IPO HAPA:
Wiki iliyopita alipigiwa simu na chuo kimojawapo tulichofanya application kuwa amechaguliwa kujiunga na masomo kwenye hiko chuo, baada ya kupigiwa alinipa taarifa na kunipa namba iliyompigia, nikaingia kwenye site kuangalia kama ipo, nikakuta ni kweli. Basi maandalizi ya kwenda chuoni yalianza kwa uzuri kabisa na week iliyopita ameenda chuoni kuanza mwanzo mpya wa elimu yake ya level ya degree ya udaktari.
Tangu ameenda nimekuwa na mawazo sana sana, nikifikiria miaka 5 na umbali tuliopo nakata kabisa tamaa kuhusu hili penzi (mpaka muda huu tunawasiliana vizuri kabisa) ila kuna muda napatwa na kama wasiwasi hivi, maana naelewa maisha ya chuo yalivyo, naanza kuona kwamba hakuna tena malengo yeyote yale yatakayoendelea huko mbeleni, nahisi kama tumeshafikia tamati ya relationship hii
Naomba aliyewahi pitia situation kama hii yangu na akashinda anipe mawazo nifanyeje ili nifike nae pale ninapotaka uyu bi-dada, kiukweli nampenda sana sana, sipo tayari kumpoteza ila kama itaniletea madhara sana itabidi nikubaliane na yote.
Nimeanza kuwa na wasiwasi kila nikifikiria mwenzangu yupo mbali, tena ni mpaka miaka 5 chuoni (mwaka wa 6 intern) nawaza sana sana mpaka, kwa umri alionao sasa mpaka amalize chuo atakuwa na miaka 32, kwa sasa mimi nafanya kazi mkoa X, yeye yupo chuo mkoa Y. Nifanyeje ili tonge langu ili lisiponyoke mdomoni.
Karibuni kwa ushauri wenu wakuu, kwa mlio wahi pitia stuation hii au wenye mawazo ya kunijenga upya kuhsu hii situation nilio nayo, mungu awabariki sana.
SHUKRANI BOSSFirst Nyoya haaminiki.
1. Mtego wa kwanza ni wale wanaofanya registration na wanaompokea chuo.
2. Mtego wa pili wanaomsaidia kupata hostel na makazi mapya.
3. Mtego wa tatu Lecturers ( huu ni endelevu hadi atakapomaliza chuo)
4. Mtego wa NNE ni mabadiriko ya mazingira na kukutana na watu wapya wanaoishi kichuochuo kila Siku, kama hayupo makini atakuona wewe ni primitive wa kutupa.
Wanaotoka salama chuo kikuu ni waliolelewa katika misingi ya dini haswahaswa na wakaishika dini wao wenyewe, sio wale wanaoigiza.
Uwe tayari kwa lolote!
Kuna mawlliHabarini za jumapili ndugu zangu,
Naombeni niende moja kwa moja kwenye kiini cha swala linalonikabili ambalo kwa namna moja au nyingine nahitaji ushauri wenu, nina girlfriend wangu tuna zaidi ya miaka 8 kwenye mahusiano, tumepita ups & down za hapa na pale, familia yake wananifahamu, mwenzangu kwenye elimu alipitia ups and down pia, maana baada ya kumaliza kidato cha sita (PCB) hakufanikiwa kusonga mbele, akataka kwenda kusoma mambo ya technolojia (IT) nikamkatalia kabisaa nikamuambia anapaswa kuipigania ndoto yake, nikamshauri aende kusoma diploma ya clinical medicine, alinisikiliza na akafanya hivyo, na atimaye mwaka jana alimaliza chuo, na kupata sehemu ya kujishikiza....siku zote tumekuwa tukihishi kwa amani kabisaa.
Mwanzoni mwa mwaka huu niliongea nae mwenzangu kuwa mwakani tuanze proccess za kufunga ndoa, kama sio mwakani basi iwe mwanzoni mwa mwaka 2022 (kama itatokea changamoto zozote) tukakubaliana ivyo, na nikajua kiasi cha maali ambacho kwao wanaweza nitoza (taarifa za maali kwa upande wa familia yao niliambiwa na dada yake ambaye tayari amesha olewa yeye)
Mwaka huu aliniomba kuwa anaona arudi chuo ili amalizie elimu yake kwa ngazi ya degree, nililizia ombi lake na mimi mwenye nikamfanyia application vyuo 4 (nilichagua vyuo ambavyo nitaweza kuwa nae karibu) vyote vya course ya MD-MEDICAL DOCTOR, matokeo ya selection ya kwanza hakupata, selection ya pili hakupata, selection ya tatu ikabidi nimuongee vyuo vyote ambavyo niliviacha hapo mwanzo jumla tukawa tumeomba vyuo 8 na vyote hakupata kwa selection ya 3 na ya mwisho.
Basi baada ya selection zote kumalizika na hatukupata chuo chochote, nikamuomba aendelee na kazi tu pale huku tukipanga mipango yetu mingine ya maisha,
SABABU YA KUANDIKA HUU UZI IPO HAPA:
Wiki iliyopita alipigiwa simu na chuo kimojawapo tulichofanya application kuwa amechaguliwa kujiunga na masomo kwenye hiko chuo, baada ya kupigiwa alinipa taarifa na kunipa namba iliyompigia, nikaingia kwenye site kuangalia kama ipo, nikakuta ni kweli. Basi maandalizi ya kwenda chuoni yalianza kwa uzuri kabisa na week iliyopita ameenda chuoni kuanza mwanzo mpya wa elimu yake ya level ya degree ya udaktari.
Tangu ameenda nimekuwa na mawazo sana sana, nikifikiria miaka 5 na umbali tuliopo nakata kabisa tamaa kuhusu hili penzi (mpaka muda huu tunawasiliana vizuri kabisa) ila kuna muda napatwa na kama wasiwasi hivi, maana naelewa maisha ya chuo yalivyo, naanza kuona kwamba hakuna tena malengo yeyote yale yatakayoendelea huko mbeleni, nahisi kama tumeshafikia tamati ya relationship hii
Naomba aliyewahi pitia situation kama hii yangu na akashinda anipe mawazo nifanyeje ili nifike nae pale ninapotaka uyu bi-dada, kiukweli nampenda sana sana, sipo tayari kumpoteza ila kama itaniletea madhara sana itabidi nikubaliane na yote.
Nimeanza kuwa na wasiwasi kila nikifikiria mwenzangu yupo mbali, tena ni mpaka miaka 5 chuoni (mwaka wa 6 intern) nawaza sana sana mpaka, kwa umri alionao sasa mpaka amalize chuo atakuwa na miaka 32, kwa sasa mimi nafanya kazi mkoa X, yeye yupo chuo mkoa Y. Nifanyeje ili tonge langu ili lisiponyoke mdomoni.
Karibuni kwa ushauri wenu wakuu, kwa mlio wahi pitia stuation hii au wenye mawazo ya kunijenga upya kuhsu hii situation nilio nayo, mungu awabariki sana.
asante mkuuKwani ni nani aliyesema mrembo akiwa chuo hawezi kuolewa? Unahofia huko chuoni wahuni watajirusha naye? Akili mkichwa Mkuu. Kama unampenda kiasi hicho sioni tatizo la kumuoa 2021 au 2022 na baada ya miaka mitano atakuwa 32 na biological clock yake itakuwa bado inadai.
shukrani sana aiseeKuna mawlli
OA fasta sana
Au ngoja afike mwaka wa tatu tia mimba anaweza freeze masomo nasikia inaruhusiwa huko kwenye afya .
Atalea mtoto unamrudiaha shule [emoji1]
Hakuna namna hii ndio ya kisasa maana wazee wa siku hizi Wana kauzibe fulani vijana wakitaka kuoa binti zao
[emoji23][emoji23][emoji23]Hiyo paragraph ya mwisho ndio muhimili wa hii comment hayo mengine Ni miyeyusho tu [emoji16]
Jibu unalo!Namuamini mkuu, but people change mkuu