Rooney
JF-Expert Member
- Jan 16, 2015
- 3,781
- 3,942
[emoji23][emoji23][emoji23]nyie nyie hamuwajui hao viumbe.Hapo mzee huyo binti kukuacha ni ngumu kuna mengi yanayowaunganisha japo wasiwasi ndo akili.
Fanya umuoe tu hata kama yupo chuo au tanguliza hata uchumba kwao ili ajue uko serious.
Dogo langu alkua na scenario kama hio ya miaka 8 and bla bla, tukajua ndoa soon wakaja mwagana siku moja baada ya anniversary ya 8 years,ugomvi ulianzia kwenye status ,domino effects zikaanzia hapo