Msaada Wenu: Uliwezaje kupita salama mpaka Ndoa kwenye Mapenzi ya namna hii?

Hapo mzee huyo binti kukuacha ni ngumu kuna mengi yanayowaunganisha japo wasiwasi ndo akili.

Fanya umuoe tu hata kama yupo chuo au tanguliza hata uchumba kwao ili ajue uko serious.
[emoji23][emoji23][emoji23]nyie nyie hamuwajui hao viumbe.
Dogo langu alkua na scenario kama hio ya miaka 8 and bla bla, tukajua ndoa soon wakaja mwagana siku moja baada ya anniversary ya 8 years,ugomvi ulianzia kwenye status ,domino effects zikaanzia hapo
 
Pamoja na ushauri woote utakaopewa Nakupa angalizo la msingi Sana,nalo ni USIMSOMESHE.

Ukiamua kumpa vijihela mpe akili yako ikijua kwamba unampa kama mwanamke yoyote unayemkula,usiweke kichwani kwamba unahudumia mke.
nimelipokea mkuu, na nimeliweka akilini mwangu kabisaa mkuu
 
asante mkuu, nimekuelewa sana, ubarikiwe
 
shukrani sana.
 
Ngoja tumtafune kidogo kwanza, utakulaje mwenyewe tu asee?
 
Hiyo paragraph ya mwisho ndio muhimili wa hii comment hayo mengine Ni miyeyusho tu 😁
 
mkuu kipindi anasoma diploma ya clinical medicine tulikuwa mbalimbali sana, ila tulikuwa tunawasiliana sana, kipindi cha secondary pia yeye alikuwa hostel (bodding school gils) mimi nilikuwa nasoma shule za kutwa tu.
Ooh sawa mkuu.

My opinion unajua mambo ya mapenzi hayana formula yaliyomtokea Nyansubi siyo lazima yamtokee Nyambonde. Mkuu unaweza kuta kwako yakaenda vizuri so ni kama probability cha msingi do not over expect jiandae kwa lolote kama wanavyoishi Sudan uko kinanuka anytime.

Kila la kheri mkuu Mungu akupe hitaji la moyo wako kadri itakavyopendeza muumba mbingu na ardhi
 
shukrani sana, ubarikiwe mnoo.
 
Possibility ya mahusiano yenu kufa ni kubwa sana.

Ushauri: peleka posa oa au Pata naye mtoto/watoto.

Usipofanya hilo tegemea yafuatayo:
Kupewa ujauzito na mtu mwingine
Kuchumbiwa na lecturer, fellow students or a Doctor
Kuchumbiwa na wafanyabiashara/wafanyakazi wanaopenda wanawake madaktari.
 
asante mkuu, ubarikiwe sana.
 
Nimesema wasiwasi ndo akili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…