Msaada Wenu: Uliwezaje kupita salama mpaka Ndoa kwenye Mapenzi ya namna hii?

Miaka nane yote hiyo ulishindwa kumtia mimba? Hovyo kabisa! Inatakiwa umkeep bize na malezi! Miaka hiyo 5 awe na watoto watatu!
 
Uchumba miaka 8 na bado mnataka kuongeza miaka ya uchumba?

Pambania ndoto yako japo unaweza kuamka na kukuta kumbe ni ndoto ya uongo.

Kumbuka mchumba hasomeshi wewe siyo mzazi wake,hatutaki kesi za mauaji au kujiua hapa.
 
Sina mengi nakuona ni kijana mwenye malengo,huna tama za kijinga;Ni jambo zuri usisahau kumshirikisha mungu haya mambo sio ushamba.Lakini kitu kikubwa jitahidi hiki kipindi utumie kuwekeza kwenye maisha yako huku ikimsubiria
 
First Nyoya haaminiki.

1. Mtego wa kwanza ni wale wanaofanya registration na wanaompokea chuo.

2. Mtego wa pili wanaomsaidia kupata hostel na makazi mapya.

3. Mtego wa tatu Lecturers ( huu ni endelevu hadi atakapomaliza chuo)

4. Mtego wa NNE ni mabadiriko ya mazingira na kukutana na watu wapya wanaoishi kichuochuo kila Siku, kama hayupo makini atakuona wewe ni primitive wa kutupa.

Wanaotoka salama chuo kikuu ni waliolelewa katika misingi ya dini haswahaswa na wakaishika dini wao wenyewe, sio wale wanaoigiza.

Uwe tayari kwa lolote!
 
SHUKRANI BOSS
 
Kuna mawlli

OA fasta sana

Au ngoja afike mwaka wa tatu tia mimba anaweza freeze masomo nasikia inaruhusiwa huko kwenye afya .

Atalea mtoto unamrudiaha shule [emoji1]

Hakuna namna hii ndio ya kisasa maana wazee wa siku hizi Wana kauzibe fulani vijana wakitaka kuoa binti zao
 
asante mkuu
 
shukrani sana aisee
 
Nimeona mambo yafuatayo kwenu.
1. Kuna either kati yenu ni mgumba
2. Mshatoa toa mimba hapo kati

Inawezekanaje 8 years hamna mimba?au hamnjunjani?

Ushauri.
Kama unampenda na hutaki kumpoteza basi mpe mimba.Ili ukimpoteza yy kwa wajanja zaid yako atleast ubaki na copy.
Ahsante
 
Uko vzr kaka una mapenzi mazito sana. Big up keep it up
 
Sikutishi ila hutamuoa huyo mwanamke ...Uoga akili na tena huo wasiwasi wako ni Roho wa Mungu anaongea na wewe kupitia mawazo yako fanya uamuzi wa kiume japo utaonekana mbinafsi lakini itakusaidia lasivyo subiri miaka 3 tu kati ya hiyo sita utakuja lia hapa utakavyotendwa. wahenga walisema wanawake hawasomeshwi .. wakati wewe unasubiri embe liive wenzangu wanakula embe hilohilo na chumvi weengi washalizwa na wapenzi wao waliosubiria waende kusoma ..kuna wengine walienda wakiwa wameolewa walipokuwa huko walibadilika na kuwatelekeza wenza wao sumbuse wewe humjaoana wala kuwa na mtoto........subiri uje uone
 
Dah ...kuna mambo ni magumu Sana ukiyafikiria....

mkuu tambua tu Jambo moja .....mwanamke.....

basi mkuu nimeshindwa kutype ...kila la heri.
 
Namuamini mkuu, but people change mkuu
Jibu unalo!
why ‘kuanikaling ’ your dirty laundry kwa forum?
Never build your future around a woman miles away from you!
Wahenga walisema”fimbo ya mbali haiuwi nyoka”.
Anyways, if you keep hanging around a barbershop for so long, you might eventually get a haircut!!
We endelea tu! Good luck
 
Ujage kutupa updates..

Hakunaga ushauri kwenye hizi ishu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…