Uelewe kuwa kabla sijaolewa nilikuwa na maisha yangu, sasa ghafla ninaanza maisha ya mama mkwe kuamua mtakula nini leo.Kujenga nyumba sio kazi ndogo bibie. kipato chenu kinaruhusu? Je unaona hicho ndicho kipaumbele chenu? Je unakosa usingizi ukiwa kwa mme wako?
Uelewe kuwa kabla sijaolewa nilikuwa na maisha yangu, sasa ghafla ninaanza maisha ya mama mkwe kuamua mtakula nini leo.
Uelewe kuwa kabla sijaolewa nilikuwa na maisha yangu, sasa ghafla ninaanza maisha ya mama mkwe kuamua mtakula nini leo.
Which means akihamia kwako mama mkwe atapewa persona non grataUelewe kuwa kabla sijaolewa nilikuwa na maisha yangu, sasa ghafla ninaanza maisha ya mama mkwe kuamua mtakula nini leo.
Nilikutana na mume wangu wote tukiwa 30+. Nilishakuwa na kwangu tofauti yangu na mwenzangu yeye anaishi kwao ingawa yeye ndiye alijenga nyumba.
Kama mwanaume aliyeoa anataka niishi kwao. Hataki kuingia is alivyonikuta navyo. Maisha ya kuishi ukweni yamenishinda, ninatamani tununue kiwanja tujenge nyumba ya pamoja lakini mwenzangu haoni umuhimu huo.
Iga mfano wa Meghan kwa vitendo.
Na ndoa ina RIP
Umetingwa Mkuu, Shule inaingiaje HapaMaisha ya ahule ni safari ndefuu.. Vumi, vumiliaa ni safari ndefu!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwann mkuuSiku mkihama ukweni.. Mtakiona cha mtema kuni
Jr[emoji769]
Hapo ni kumshauri kwa nguvu zoteNilikutana na mume wangu wote tukiwa 30+. Nilishakuwa na kwangu tofauti yangu na mwenzangu yeye anaishi kwao ingawa yeye ndiye alijenga nyumba.
Kama mwanaume aliyeoa anataka niishi kwao. Hataki kuingilia vitu alivyonikuta navyo. Maisha ya kuishi ukweni yamenishinda, ninatamani tununue kiwanja tujenge nyumba ya pamoja lakini mwenzangu haoni umuhimu huo.