I am Groot
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 3,929
- 10,747
Jengeni muhamie kwenu ila wewe mke jiandae kuona joto la jiwe toka kwa mama mkwe. Ataamini wewe ndie uliemwondoa mwanae kwake bila hiyari yake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
aina ya wanawake wa namna yako ni vigumu kudumu kwenye ndoa. Wewe ni sehemu ya familia ya mumeo, na kama nyumba ni yake wewe ndio mama mwenye nyumba. Zaa watoto wa kutosha usimike utawala wako. Nyumba si nyumba kama sio familia, weka watoto watano uone utakavojinafasi. Ila mpaka umekuja humu inaonekana wewe ni mbishi sana na unamuumiza jamaa kichwa. Maisha ni magumu sana sasa hivi, kama unacomfort zone usiiache kwasababu ya fantasies. Acha ubishi, muamini mumeo na angalia mazuri ya upande wa mumeo.Nilikutana na mume wangu wote tukiwa 30+. Nilishakuwa na kwangu tofauti yangu na mwenzangu yeye anaishi kwao ingawa yeye ndiye alijenga nyumba.
Kama mwanaume aliyeoa anataka niishi kwao. Hataki kuingilia vitu alivyonikuta navyo. Maisha ya kuishi ukweni yamenishinda, ninatamani tununue kiwanja tujenge nyumba ya pamoja lakini mwenzangu haoni umuhimu huo.
Kisa chake kimenikumbusha huo wimbo.Umetingwa Mkuu, Shule inaingiaje Hapa
Ni changamoto kiasi chakeUelewe kuwa kabla sijaolewa nilikuwa na maisha yangu, sasa ghafla ninaanza maisha ya mama mkwe kuamua mtakula nini leo.
Basi mama mkwe ana upendo wa hali ya juu.
Hataki wanao mhangaike wala muumize kichwa. Akiamua unakula nini wewe unapata shida gani? Si ule alicho amua yeye??
Sent using Jamii Forums mobile app
Hayaoni haya Raha yake akiamka asubuhi familia yake imemzunguksUnafikiri kwanini ndoa ya Alikiba na Diamond zimishindwa kuendelea? Kwasbb ya kuishi nyumba moja na ndgu pamoja na wazazi. Unatakiwa ukae mbali na ndugu pamoja na wazazi yaani unatakiwa ujenge nyumba mbali na nyumbani na uishi wewe na watoto wako. Ndugu zako pamoja na wazazi wako wanapaswa wawe wanakuja kukusalimia na kuondoka. Mimi kwao na mke wangu tukitaka kwenda kusalimia huwa siwezi kukaa siku 3. Ni 2 tu nakuondoka. Hii ya kurundikana nyumba moja ni kutafutiana lawama
Mama mkwe kuamua mtakula nini leo![emoji1787][emoji1787][emoji1787]Uelewe kuwa kabla sijaolewa nilikuwa na maisha yangu, sasa ghafla ninaanza maisha ya mama mkwe kuamua mtakula nini leo.
Mimi ninavyopenda uhuru siwezi kuoa halafu nibakie nyumbani kwa sababu sitaki kumuuzi Mama yangu! Nakumbuka nilivyokuwa kijana mdogo nilikuwa napenda sana ugali ila Mama anasema anataka ndizi, basi nilikuwa nanuna sana!Mama mkwe kuamua mtakula nini leo![emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Najua hapo mnakosa uhuru kweli ila kuwa mvumilivu huku ukiendelea kumshawishi mume wako kidogo kidogo tu. Mwisho ipo siku atakuelewa.Nilikutana na mume wangu wote tukiwa 30+. Nilishakuwa na kwangu tofauti yangu na mwenzangu yeye anaishi kwao ingawa yeye ndiye alijenga nyumba.
Kama mwanaume aliyeoa anataka niishi kwao. Hataki kuingilia vitu alivyonikuta navyo. Maisha ya kuishi ukweni yamenishinda, ninatamani tununue kiwanja tujenge nyumba ya pamoja lakini mwenzangu haoni umuhimu huo.
Haijalishi hata kama ungekuwa umeshajenga ghorofa ila inabidi ukubaliane na mumewe anavyodai.Uelewe kuwa kabla sijaolewa nilikuwa na maisha yangu, sasa ghafla ninaanza maisha ya mama mkwe kuamua mtakula nini leo.
Mkiwa kwa wakwe, hata kwenye kugegedana inabidi mjizibe midomo ili sauti zisitoke...Kujenga nyumba sio kazi ndogo bibie. kipato chenu kinaruhusu? Je unaona hicho ndicho kipaumbele chenu? Je unakosa usingizi ukiwa kwa mme wako?
Hayaoni haya Raha yake akiamka asubuhi familia yake imemzunguks
Wewe na wewe mjinga tu Yaani unaoa Mke alafu unaenda kuishi naye kwenuHizi Mila za kizungu zinatuharibia familia
Hivi viwanawake tunavyovioa vinafikia mahali vinataka kuanza kukupangia
Ona kanapeleka hoja ya kujenga nyumba Bora hata kangekuja na hoja ya kufanya biashara kangeeleweka
Hivi wanawake huwa wanaboa sana, hivi nyumba nyumba nyumbaaaa nyumba ukikauliza hivi kwani wewe unalala nje?, hata majibu unakuta hakana kapo kapo tu.
Vinaacha kufikiria biashara vinabaki kusigana na mama mkwe
Piga business hata mama mke atakuheshimu sio kuwaza project za walemavu za kujenga nyumba
Haki inahitaji moyo kwanza unahisi umebanwa unajua kuna raha ya kuwa na kwenu wewe mumeo watoto kama umejaaliwa full kujiachia wewe nenda nae taraatibu tu ataingia king nunueni kiwanja kingine unaweza mshauri labla mna watoto wawili au watatu jaribu kumwambia maisha kuna leo na lesho hii nyumba tunayokaa itakuwa labda ya mtoto wa kwanza ile yangu ya huyu wapili tujenge basi na nyingine kwa huyu wa tatu anaweza kukuelewa yaani Sky elcat una Moyo bado mawifi na ma shem sijui wajukuu hawakauki hapo waja kusalimia kwa BibiUelewe kuwa kabla sijaolewa nilikuwa na maisha yangu, sasa ghafla ninaanza maisha ya mama mkwe kuamua mtakula nini leo.