Msaada wenu wa mawazo tafadhali, Maisha ya kuishi ukweni yamenishinda

Msaada wenu wa mawazo tafadhali, Maisha ya kuishi ukweni yamenishinda

Jengeni muhamie kwenu ila wewe mke jiandae kuona joto la jiwe toka kwa mama mkwe. Ataamini wewe ndie uliemwondoa mwanae kwake bila hiyari yake.
I had the same case akati naolewa mume wangu amejenga anaishi na familia yake, na mimi nshakuwa na mambo yangu na nina kwangu, nlivoolewa kila mtu abaki na cha kwake nihamie kwake tukaishi na mama mkwe sjui na mawifi lakini nlifanya kutafuta nyumba nkachukua vile vitu vya ndanj nikaweka nyumba nikapangisha tukafuatana na mume tukapanga uku tukijenga yetu.......hakuna usumbufu wala wa kuuliza wakiulizana wanaulizana wenyewe
 
Basi mama mkwe ana upendo wa hali ya juu.
Hataki wanao mhangaike wala muumize kichwa. Akiamua unakula nini wewe unapata shida gani? Si ule alicho amua yeye??

Sent using Jamii Forums mobile app
Mama mkwe awaache mwanaye na mkewe waambatane wakajenge familia yao kama walivofanya na mumewe, ni watu wazima wameamua kuungana wawe kitu kimoja waanze safari yao, mama mkwe tena anajiweka kiongozi wa mbio 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Sky Eclat
 
balimar,
Hujayaona mengi ndo maana umepovuka povuuuuu na ujue kama mama mkwe atapanga mkwe ale nini na biashara unayomshauri kufanya atapanga yeye afanye au asifanye, akili kutulia utafute hela lazima pia iwe huru kufikiri, imerelax, sio uko ukweni unataka roast ya maini mama mkwe asharuka kijana wangu hana ela, unaharibu pesa ya mwanangu, labda kama ni mama mkwe wale wastaarabu ambao anajua sasa ni mtu mzima wacha nikae mkwe aniandalie chakula aniletee, jikoni siingii tena kugusana gusana matako na mkwe...........nashukuru Mungu alinipa mama mkwe mstaarabu kiasi, hata nkikaa naye tutaishi hana kero za kukupangia ule nini, sjui uvae nn
 
Very sweet ..kama kajina kako well done
I had the same case akati naolewa mume wangu amejenga anaishi na familia yake, na mimi nshakuwa na mambo yangu na nina kwangu, nlivoolewa kila mtu abaki na cha kwake nihamie kwake tukaishi na mama mkwe sjui na mawifi lakini nlifanya kutafuta nyumba nkachukua vile vitu vya ndanj nikaweka nyumba nikapangisha tukafuatana na mume tukapanga uku tukijenga yetu.......hakuna usumbufu wala wa kuuliza wakiulizana wanaulizana wenyewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe unavyoonekana kabla ya kuolewa na huyo mume wako wa 50+ ulikuwa umezoea kuvusha vivulana vya -20 kwenye hicho kijumba chako
 
McMahoon,
Na sio ndoa ya Alikiba, hiyo imekuja kuonekana sababu ni watu wa media sana. Ndoa nyingi zinavunjika sababu ya ivo ivo, unakuta mwanaume ameoa mke kwa ajili ya familia, familia ndo impangie mke kufanya ivi, kufanya vile, unakuta mwanaume umetoka unarudi home visa kibao mkeo kafanya ivi, mkeo kaninyima chakula, mkeo mchoyo, mama mkwe wengine sjui ni uchawi sjui roho mbaya gani anadiriki adi kutoa machozi mkeo anataka kupigana na mimi, yaani visa vyooote vya Nigerian movies vya mama mkwe vinatokeaga laifu laifu bila chenga....apo lazima ndoa ikufe kama line zisizosajiliwa leo 😩 😩 😩 😩 Sky Eclat
 
Uelewe kuwa kabla sijaolewa nilikuwa na maisha yangu, sasa ghafla ninaanza maisha ya mama mkwe kuamua mtakula nini leo.
Hayo si maisha!
Heshima ya mke ni kua mama mwenye nyumba na si kukaa kana kwamba mnalelewa na wakwe!!
 
Very sweet ..kama kajina kako well done

Sent using Jamii Forums mobile app
Bila hivo ndoa ya kusimamiwa na mama mkwe ni ngumu, na ndoa ya mwanaume kuhamia kwa mke ni ngumu pia.....hatujaumbwa kuhudumia kiasili, mwanamke hawezi vumilia maudhi ya mwanaume na akati kampa hifadhi siku akijichanganya anakuta virago vyake nje kuleee Sky Eclat 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Siombei mabaya sbb Biblia inasema kila nafsi itaonja mauti. Ikitokea mumeo akatangulia hapo hauna chako na watoto wako na itakulazimika kutafuta nyumba nyingine. Ukiwa na nyumba yenu hata mume anatangulia mke anakuwa na uhakika wa kuishi 100% kwenye nyumba ya mumewe bila bughudha. Na anakuwa ana haki miliki zote. Hapo ni kumtesa mke na watoto kama mwanaume akitangulia
Si hawakauki wote tunaishi nao
 
Mkiwa kwa wakwe, hata kwenye kugegedana inabidi mjizibe midomo ili sauti zisitoke...
Uhuru unapungua sana kiukweli. Hata siku mkigongana kwa maugwadu sana, asubuhi mnakua na wasiwasi, "sijui walitusikia"
Shida kubwa sana mkuu. Halafu kama mwanamke mwenzangu ni wale waliojaliwa kipaji cha kuimba wakati wa tendo; atakuwa na wakati mgumu sana!
 
Nyumba au vitu vya mwanamke huwa naviogopa aise. Mke wa Mabeste anakuambia alihudumia familia miezi 2 au 6 sikumbuki vizuri. Kuhudumia watoto wako waliotoka tumboni mwako unaona mzigo? Hapo nilichoka
Bila hivo ndoa ya kusimamiwa na mama mkwe ni ngumu, na ndoa ya mwanaume kuhamia kwa mke ni ngumu pia.....hatujaumbwa kuhudumia kiasili, mwanamke hawezi vumilia maudhi ya mwanaume na akati kampa hifadhi siku akijichanganya anakuta virago vyake nje kuleee Sky Eclat 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Rafiki zako wakija nyumbani wakakikuuliza mjini wako ukuwapi utaowaonesha nyumbani kwa baba yako na mama yako
Hakika mkuu, kuna umri ni fedheha marafiki zako waje kukusalimia nyumbani kwa wazazi wako; hata uhuru watakua hawana.
 
Back
Top Bottom