Kiwarhoapandenga
JF-Expert Member
- Aug 10, 2019
- 2,078
- 1,805
Mimi mwenyewe nimejiuliza hili swali mara mbili mbili kweli ni yeye sky au kamwandikia mtu ama kweli nzi kafia kwenye kidondaHivi umefeli wapi?we mbona mjanja sana hii imekutokeaje sasa?
I had the same case akati naolewa mume wangu amejenga anaishi na familia yake, na mimi nshakuwa na mambo yangu na nina kwangu, nlivoolewa kila mtu abaki na cha kwake nihamie kwake tukaishi na mama mkwe sjui na mawifi lakini nlifanya kutafuta nyumba nkachukua vile vitu vya ndanj nikaweka nyumba nikapangisha tukafuatana na mume tukapanga uku tukijenga yetu.......hakuna usumbufu wala wa kuuliza wakiulizana wanaulizana wenyeweJengeni muhamie kwenu ila wewe mke jiandae kuona joto la jiwe toka kwa mama mkwe. Ataamini wewe ndie uliemwondoa mwanae kwake bila hiyari yake.
Mama mkwe awaache mwanaye na mkewe waambatane wakajenge familia yao kama walivofanya na mumewe, ni watu wazima wameamua kuungana wawe kitu kimoja waanze safari yao, mama mkwe tena anajiweka kiongozi wa mbio π€£ π€£ π€£ π€£ π€£ π€£ Sky EclatBasi mama mkwe ana upendo wa hali ya juu.
Hataki wanao mhangaike wala muumize kichwa. Akiamua unakula nini wewe unapata shida gani? Si ule alicho amua yeye??
Sent using Jamii Forums mobile app
Haitakuwa na shida, ukiamua ukathubutu wala haitatokea chochote, labda kama kijana kumuolea mama ake na sio kaoaNa ndoa ina RIP
I had the same case akati naolewa mume wangu amejenga anaishi na familia yake, na mimi nshakuwa na mambo yangu na nina kwangu, nlivoolewa kila mtu abaki na cha kwake nihamie kwake tukaishi na mama mkwe sjui na mawifi lakini nlifanya kutafuta nyumba nkachukua vile vitu vya ndanj nikaweka nyumba nikapangisha tukafuatana na mume tukapanga uku tukijenga yetu.......hakuna usumbufu wala wa kuuliza wakiulizana wanaulizana wenyewe
Hayo si maisha!Uelewe kuwa kabla sijaolewa nilikuwa na maisha yangu, sasa ghafla ninaanza maisha ya mama mkwe kuamua mtakula nini leo.
Bila hivo ndoa ya kusimamiwa na mama mkwe ni ngumu, na ndoa ya mwanaume kuhamia kwa mke ni ngumu pia.....hatujaumbwa kuhudumia kiasili, mwanamke hawezi vumilia maudhi ya mwanaume na akati kampa hifadhi siku akijichanganya anakuta virago vyake nje kuleee Sky Eclat π€£π€£π€£π€£π€£
Si hawakauki wote tunaishi nao
Shida kubwa sana mkuu. Halafu kama mwanamke mwenzangu ni wale waliojaliwa kipaji cha kuimba wakati wa tendo; atakuwa na wakati mgumu sana!Mkiwa kwa wakwe, hata kwenye kugegedana inabidi mjizibe midomo ili sauti zisitoke...
Uhuru unapungua sana kiukweli. Hata siku mkigongana kwa maugwadu sana, asubuhi mnakua na wasiwasi, "sijui walitusikia"
Bila hivo ndoa ya kusimamiwa na mama mkwe ni ngumu, na ndoa ya mwanaume kuhamia kwa mke ni ngumu pia.....hatujaumbwa kuhudumia kiasili, mwanamke hawezi vumilia maudhi ya mwanaume na akati kampa hifadhi siku akijichanganya anakuta virago vyake nje kuleee Sky Eclat π€£π€£π€£π€£π€£
Hakika mkuu, kuna umri ni fedheha marafiki zako waje kukusalimia nyumbani kwa wazazi wako; hata uhuru watakua hawana.Rafiki zako wakija nyumbani wakakikuuliza mjini wako ukuwapi utaowaonesha nyumbani kwa baba yako na mama yako
ila na wewe sky kwa kisa hiki sikutegemea ungekua main character..πππ ukinunua kitenge kwa Esma umkumbuke na mama mkwe na mawifi na wanaangaliana mwisho unaona bora uache.