Msaada wenu wa mawazo tafadhali, Maisha ya kuishi ukweni yamenishinda

😂😂😂 ukinunua kitenge kwa Esma umkumbuke na mama mkwe na mawifi na wanaangaliana mwisho unaona bora uache.
Na sio kumkumbuka tu anakuja anakuuliza kinafki eti eeh iki umenunua sh ngapi, unajiuliza asa anataka kunirudishia pesa nlotumia ama?
 
POOOOOOOOLE, yani nimeandika in capital letter kuonyesha msisitizo, aisee hata mimi siwezi khaaaa, huwa nawaonea huruma sana wanawake wanaoolewa alafu wanaenda kuishi ukweni au mwingine unakuta wanapewa kiwanja humo humo walipojenga wazazi wa mwanaume mjenge muishi wote, hapana kwa kweli, raha ya wakwe wakae mbali muwatembeleee tu kwa mwezi mara 1 lakini pika pakua nao uuuuuwi hakuna rangi hutaona
 
Dawa ndogo, ikifika usiku jiachie kwa mumeo, piga kelele za masononeko na maneno matamu matamu, watawafukuza wenyewe au watakimbia wao, utanishukuru baadae

Sent using Jamii Forums mobile app
apige mayowe hadi baba mkwe na mama mkwe wake waingie kishawishi cha kula na kuliwa kimasihara,,, 🏃🏃🏃
 
Kama umechoka kuishi kwa wakwe badala ya kuishi kwako nashauri wakati mnaandaa mikakati ya kujenga nyumba yenu mpange nyumba muishi maisha ya kujitegemea!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh, kazi unayo, ila mbona marahisi hayo, msomeshe mume muhamie kwenu...
 
Aisee
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah, ushauri huu umeenda shule. Hapo mgeni ni huyo mama mkwe sio wewe. Yeye ndio arudi kwake. Mfanyie vituko hadi akimbie teh teh teh

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha ubinafsi. Msikilize mumeo.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…