Msaada wenu Wakuu, baba yangu hataki kunilipa deni langu

Hakumuomba amzae.Alipe Deni aache porojo Kama hizi zako
 
Miaka 31 bado uko kwa baba na mama....!!?
Huna aibu hata kidogo unaleta Uzi wa kindezi namna hii na chuo umeenda...!!?

Kwa jinsi ulivyo na akili yako mbovu huwezi 1. Kuwajengea wazazi wako nyumba bora hata ukipata mafanikio namna gani.
2. ................. .........
3.
4.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha fix kupimana kwa kukopana? Halafu unamkopa mwanafunzi bila hata aibu? Mtoto bado anasoma Mzazi unamkopa hela kweli? Akili unakuwa nazo kweli?

Huyo baba Yake alipe na anatakiwa kutandikwa viboko kwa roho mbaya ya kumtesa mtoto.
Mtoto kutoa laki Tisa atakuwa aliishi maisha magumu Sana chuoni

Huyo baba anatakiwa kulipa bila porojo zozote
 
Mzazi hakopeshwi mkuu, mzazi anapewa piga hesabu tu kua ulimpa hiyo pesa,
Tafuta mishe nyingine ikuingizie pesa hiyo achana nayo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Atakuwa mchaga huyu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
I see the way you hate him! Ukiendelea hivi future huna, tupo utakuja kuturudishia mrejesho
 
Nilikuwa nateseka Sana chuo kaka

Sent using komputa mpakato
 
post nengine bhana. wewe si ulikuja hapa ukasema baba ako anataka kukuukuza kisa ccm
 
Wewe unaweza kumlipa shahawa, zake alizotumia mpk ukawepo...??

Acha ushamba mzazi akopeshwi akimpata akakurudishia si kwamba kalipa deni bali umepewa wewe pesa ili uzidi kupambana si kulipwa...! Fadhila ya mzazi huwezi kuilipa maisha yako yote.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sema tu kwa kuwa hii ni kama hadithi sio kweli kama kuna kitu kama hicho!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…