Msaada wenu wakuu, nateketea ndani kwa ndani

Daaah mpaka nakuonea huruma jamaa, natamani nikuazime hizi akili na moyo wangu atleast ungeyashinda hayo.

Kama hapa tu kwenye maandishi uanonyesha kulialia hivi juu ya mwanamke (hadi naona aibu kusoma) huko ndani vipi mkuu? Usikute ukishawahi kumpigia magoti, labda ukamwambia hauwezi kuishi bila yeye, ukampigia simu ukilia na kuomba akurudie, ukamwambia akikuacha utajiua...hapo huwezi kujenga mahusiano ukiwa legelege hivi mkuu.


BE A MAN, japo kwa mazingira ya story yako ni ngumu ila ukiweza utakuwa umeishinda vita kubwa sana.
 
Kuwa masicular bwana acha kulilia penzi mwanaume mwenzangu, hiyo ni kazi ya wanawake.

Piga moyo konde, endelea na life jingine na ufocus kwa mkeo.

Kama ameshindwa kufuata unayotaka afuate utakaaje nae? Yanu eti upo tayari kukaa nae licha ya mateso anayokupatia?

Kwenye mahusiano wewe kama mwanaume unatakiwa kuwa kiongozi kisha mwanamke afuate maoni yako au kukushauri pale unapoenda mrama, sasa kama unataka kuuza uanaume wako kisha penzi utaishi ukiteseka miaka yote.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Huo msitari wa mwisho umenichekesha sana[emoji23].
 
Mbona naona kama umeshikwa akili hivi au labda dish limeyumba?

Una mke wa ndoa, na una mwanamke uliyezaa naye mtoto kabla ya yule wa ndoa...

Lakini akili yako inapelekeshwa na huyo uliyezaa naye na mmejiachia kama wanandoa vile...

Shubamittti
Hana akili huyo achana nae aendeshwe Kuna siku atapata akili
 
itoshe kusema kwa kipande hichi kwangu ingekua ni talaka tosha View attachment 2451329
Hapo Hakuna Mwanaume Kuna mvulana na mjinga.

Then watu Kama Hawa baadae wanakuja kuomba ushauri,huwa nawajibu simple tuu kwamba huna akili ngoja unyooshwe Hadi akili zikae sawa..

Kiufupi sijawahi sumbuliwa Wala kubabaishwa na mwanamke,Nina uwezo wa kupiga chini mwanamke yeyote na nikikata shauri sijawahi Rudi nyuma kwa sababu Sina dhiki ya K Wala furaha yangu haiko kwenye K.
 
Pole sana mkuu,
Kwa uelewa wangu wewe ndio tatizo namba 1
2 je mkeo anajua haya?
3 mchepuko wako anajua km upo na mke si ndio?
Tujiulize mimi na wewe swali hili
Je unapokua na mkeo mchepuko hua yupo na nan?
Hivi unadhan yeye ni mjinga?
Kichwan kwake ameshavua upendo amebakiza uzazi mwenza!
Tarajia maamuzi yoyote kutoka kwa mzazi mwenzako kwasababu huna chakumzuia


Kinachokutesa wewe ni mazoea na sio upendo
Wekeza nguvu maamuzi na mawazo yako kwa mkeo na familia
Huyo mchepuko sio issue tena






Bythewayndiomaanasitakikuowasinglemother
 
Mwenye maskio na asikie

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kweli unammudu[emoji28][emoji28][emoji28]
Huwa Anapenda kujizima Sana data yule,

Na niliwahi kumwambia Kama Kuna mganga kakupa limbwata ndo analijaribu Basi kakutapeli, bado nna akili zangu timamu.

Usinifanyie vitu ambavyo vinadhalilisha utu wangu ukadhan ntakuchekea kisa nakupenda au nahofu ntaachwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji28][emoji28][emoji28]kajifunza kwakweli ni vizuri unamkumbusha nafasi yake hapa ndowengi wanapofeli mpk mchepuka anajiona mke
 
[emoji28][emoji28][emoji28]kajifunza kwakweli ni vizuri unamkumbusha nafasi yake hapa ndowengi wanapofeli mpk mchepuka anajiona mke
Sahii kabisa,

Yaan mtu anajiona mungu mtu wako
Anataka aabudiwe hatak kuskia excuse yyt akishapanga Jambo lake.

Hii Ni tabia ya kumanipulate akili yako na ikiendelea hivi Kuna siku atakwambia ua wazazi/mke/watoto wako ukishindwa tuachane.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Utoto unakusumbua. Ukikua utajitambua.

Hata haujui maana ya mke na mzazi mwenzia!!?
Halafu mzazi mwenza wa mazingira unayotueleza!!
Mzinifu wewe. Acha uzinzi.
 
Noma sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…