Msaada: Yeyote anayemjua mtaalam anayeweza kumrejesha ndugu yetu aliyefariki kifo cha kutatanisha

Akirudi anakuja na kikosi cha mizimu 😂🤣
 
Hahahaha hii kambaa
 
Hii ilikuwa mshughulike akiwa bado anaumwa, sijajua kama ni watu wanakuwa wamefungwa kimawazo? Mara nyingi, wengi huwa wanakuja kushtuka baada ya mtu kuwa amefariki.
Na hii inasababishwa na jamii zetu kutokuwa na umoja katika uuguzaji, ambao ungewezesha kudadisi tatizo, kabla ya hitimisho.
Kwa ushauri tu; usihangaike na hili jambo,litakutesa.​
 
"Tukuretee Gwsjima?"
 
Wewe unaleta upumbafu wako huku! Mtu kafa na kuzikwa eti mnamtaka tena bwege wewe
 
Sijui kama hapa kuna medium. My suggestion,chukua kitu chochote cha mtu aliyekufa,kiweke katikati ya kiganja cha mkono,at the centre of the palm,fumba macho,halafu tazama picha gani zinatokea kwenye mental screen. It is called psychometry.
Ok Asante sana.
 
hapo umeongea ukweli haswa, kwangu najishangaa kwanini sikuhangaika, na umoja haukuwepo kabisa, ugonjwa ulikuwa kama ni siri wakati kulikua hakuna sababu ya usiri, nilio wategemea wangeweza hawakufanya lolote, nimkuja shanga amtua na fariki ,matokeo yake nina hangaika sasa hivi.
 
Ntishika sana napo sikia kwamba hali hii huchukua muda mrefu, ninavyo jisikia sasa ni hali mbaya sana , maumivu nashindwa ya vumilia najribu muomba Mungu anipe wepesi, Asante sana
 
Kitendo cha kumzika kama ni mtu amechukuliwa msukule hawezi kurudi. Cha kufanya huwa kuna mambo yanafanyika huko alipo badala ya kuteswa basi anakufa kwa amani na kurejea kwa muumba wake.

Haya mambo ya kishenzi yapo. Bado watu weusi hatujastaarabika na kuendelea kuukumbatia uchawi.
 
Daah achaa tuu.. Haya mambo yanaumizaa sanaaa kiukweli ukisikiliza maneno ya watu unaenda kwa MGANGAAA..!! kifo kinaumizaa sanaa..mnooo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…