Msaada: Yeyote anayemjua mtaalam anayeweza kumrejesha ndugu yetu aliyefariki kifo cha kutatanisha

Msaada: Yeyote anayemjua mtaalam anayeweza kumrejesha ndugu yetu aliyefariki kifo cha kutatanisha

Zimepita siku 7?

Kuna mwamba namjua, tatizo ni kwamba hii issue umeamua mwenyewe au mmekubaliana ndugu?

Una hakika akija mtu ambae mlimzika mtaweza kuishi nae?

Kuna possibility akija haji peke yake maana mnakua mmefungua mlango wa kuzimu anaweza kuja na kikosi.

Naomba jifikirie kwanza.

Hii scene ya kufungua mlango wa kifo na jamaa kuja na spirit za wengine ziko kwenye movies kibao kama conjuring 1 au 2 nazan
 
Daah achaa tuu.. Haya mambo yanaumizaa sanaaa kiukweli ukisikiliza maneno ya watu unaenda kwa MGANGAAA..!! kifo kinaumizaa sanaa..mnooo.
Mimi nimeona kwetu meru.wazee wakagoma kuizika maiti.ilikua ni kuna ndugu yetu aliolewa njombe.sasa kule kumbe mama mkwe hakua anampenda.picha linaanzia hapo.
Basi akafanya ya kufanya.
Wale wazee maiti ilipoletwa wakatukana sana wakasema tunamzika kikaragosi.mtu mwenyewe kabaki njombe.usiombe haya mambo.
vilifanywa vitu maiti ikaanza kulia wakasema iachwe mpaka itapoacha kulia, kweli alipoacha kulia wazee wakasema azikwe kwamba kumrudisha haiwezekani ila na kule washenzi hawapati kitu.
Uchawi kitu kibaya sana.
 
Daah aisee haya mambo yasikie tu kwa mwenzio mimi ndugu wa karibu kabisa alifariki ghaflaa aisee tumezika baadae nkaanza kusikia maneno nikajitahidi kuamini amekufa kifo cha kawaida maana nilishaanza kuwa na mawazo ya kumtafuta mchawi nani
 
Mkuu kubali yapite mi tarehe 12/3/2023 nimempoteza mwanangu kwa mazingira tatanishi ameumwa siku 2 na kufia benjamini mkapa ila kuna viashiria vyote na wahusika kujulikana nimeshauriwa sana kulipiza ila nimekataa,acha yapite ni mapito japo picha zake kwenye simu zinaniumiza sana
Dah! Pole sana mkuu
 
Mkuu tupe dokezo, ilikuwa kuwaje? Ndugu yako akafariki au akachukuliwa kiuchawi tafadhali tupe japo kiufupi?
 
Acha Imani potovu,hakuna kitu kama hicho,hata mzee wa Shakahola hawezi kufanya hivyo,aliweza tu kuwaua waumini kwa kuwanyima chakula,ila kamwe hata weza na hawezi kuwafufua🤔
Elimu ni Pana Dunia hii
 
Kuna uwezekaniwa kutofanywa 40 na mpendwa aka rudishwa ? nacho sikia ni kwamba kama akchukuliwa kurudi ni pale ambapo haja zikwa akisha zikwa basi tena je ina ukweli?
Hata akizikwa anakuwa sio yeye zipo dalili za kujua aliyezikwa ni mtu au kingine,wabobezi wa elimu hio wanajua kwa kulitazama tu kaburi.
Maana ya 40 ni kuridhia.
Hata yule mbongo movie waliambiwa wasifanye 40
 
Wengi walio pandisha walisema sio yeye na hata kaburibi sijui kitu kama lili bomoka upande wakati w kutaka kuzika ikabisi wachime tena wakadai ni ishaara sasa sijui hapo ina ukwli gani.
 
Watafute waonaji wapo wa pande mbili kwa Mungu na upande wa shetani wote wanaweza mrejesha inategemea
 
Watafute watu Hawa Mussa Chesa huyu alikua kitengo Cha misukule nchini anajua machimbo Yote ya wachawi nchini,Amiel Katekela walikuwa kwenye fani hio Wanajua A to Z kuhusu uchawi na wachawi watakusaidia pa kuanzia
 
Back
Top Bottom