Hao jamaa wanaonekana ni mamastermrangi Njoo tusaidiane huku najua wewe uko mjini siku nyingi na watukutu wote wa mjini unawafahamu
Nadhani Oysterbay. Ila ukienda mahakamani kwenye kesi ya ugaidi utamkuta. Usipomkuta cheki na mawakili wa serikali watakupa mawasiliano yakeWa kituo gani tafadhali
Bahari beachHao jamaa wanaonekana ni mamaster
Naona sura zao hawazioneshi,wamevaa kofia, hawangalii
Juu,wakijua kuna cam maeneo hayo
Kama ndani kuna cam nahisi zitakuwa zimewachukua sura
Alafu huo uhalifu ulitokea maeneo gani
Ova
Au waarabu wa Pemba hawa..!Mzee inakuaje wewe ni mtu wa kuibiwa ibiwa sana?
Kama nakumbuka wewe ushawahi weka kipicha fulani cha Pajero nyeupe iliyoibwa...leo tena uzi mwingine wa kupigwa tukio...
Kuna shida mahali...
Na police nao utatoa rushwa msaada wao mdogo labda watumwe na IGP bila hivo watakusumbua na rushwa daily. Jeshi letu kwa sasa lijiimarishe kitechnologia Ili ku identify wezi ka hawacctv ni kazi bure kujua sura bali kuona tukio tu.labda nenda polisi maeneo ya karibu na kwako watajua huyu mwizi ni wa aina gani.sasa mtu yupo kigoma aje kutambua mtu wa dar tena mzaramo
Eeh anaitwa nani Ili umsaidie mleta madaHuyu Ni Kaka mmoja hivi muhaya..
Waliiba gari tu au waliiba vingineBahari beach
Waliiba gari tu au waliiba vingine
Je gari ulifanikiwa kuipata ?
Ova
Cheki pmSikufanikiwa....jamaa wana gonga geti nakujifanya wao ni maafisa serikalini kuna mwenzao haonekani pichani ambaye anavaa suti...wanakwambia fungua tukupe mzigo wako kisha wanataja ofisi yoyote ya umma ukifungua mlango wanakuvamia na bunduki mapanga visu wanakufunga kamba kisha wana chukua wanachohitaji ikumbukwe tukio hili ni asubuhi ila wanakuwa wengi wanatafuta mitaa isiyo na shughuli nyingi kisha wanatanda hakuna kupita mtu mpaka wamalize shughuli yao KakaJambazi njoo tusaidiane aisee
Wanabunduki na mapanga wako kama kumi hivi wana funga mtaa usiombe halafu wanakuja mchana kweupeeeNikajuwa kashika Mguu wa Kuku kumbe kuvuli
Hao sio wezi.Pamoja na kwamba Picha za CCTV hazionyeshi vizuri na kwamba wamejifunika na kofta ila kama unawafahamu utawafahamu tu zawadi
Nono itatolewa asanteni
View attachment 2079098
Bado pendekezo lako ni gumu kidogo.Pengine shida budget.
Zingefungwa kila angle asingechomoa.
Mkuu Mimi ni multisectoral, nshaachaga izo.Sikufanikiwa....jamaa wana gonga geti nakujifanya wao ni maafisa serikalini kuna mwenzao haonekani pichani ambaye anavaa suti...wanakwambia fungua tukupe mzigo wako kisha wanataja ofisi yoyote ya umma ukifungua mlango wanakuvamia na bunduki mapanga visu wanakufunga kamba kisha wana chukua wanachohitaji ikumbukwe tukio hili ni asubuhi ila wanakuwa wengi wanatafuta mitaa isiyo na shughuli nyingi kisha wanatanda hakuna kupita mtu mpaka wamalize shughuli yao KakaJambazi njoo tusaidiane aisee