mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
Hao jamaa wanaonekana ni mamastermrangi Njoo tusaidiane huku najua wewe uko mjini siku nyingi na watukutu wote wa mjini unawafahamu
Naona sura zao hawazioneshi,wamevaa kofia, hawangalii
Juu,wakijua kuna cam maeneo hayo
Kama ndani kuna cam nahisi zitakuwa zimewachukua sura
Alafu huo uhalifu ulitokea maeneo gani
Ova