Msaada: Zawadi kwa atakayeweza kuwatambua watu hawa pichani

mrangi Njoo tusaidiane huku najua wewe uko mjini siku nyingi na watukutu wote wa mjini unawafahamu
Hao jamaa wanaonekana ni mamaster
Naona sura zao hawazioneshi,wamevaa kofia, hawangalii
Juu,wakijua kuna cam maeneo hayo
Kama ndani kuna cam nahisi zitakuwa zimewachukua sura
Alafu huo uhalifu ulitokea maeneo gani

Ova
 
Bahari beach
 
Mzee inakuaje wewe ni mtu wa kuibiwa ibiwa sana?

Kama nakumbuka wewe ushawahi weka kipicha fulani cha Pajero nyeupe iliyoibwa...leo tena uzi mwingine wa kupigwa tukio...

Kuna shida mahali...
Au waarabu wa Pemba hawa..!
 
Kwa wenzetu wenye technology kubwa huyo mwizi angepatikana kirahisi kwa technology hata ya DNA ka watu hufariki mda ikifanyiwa uchunguzi wa vinasaba anapatikana sembuse na huyu Kuna picha, jeshi la police inabidili liweseshwe kinyenzo kutafta watu wa aina hii
 
cctv ni kazi bure kujua sura bali kuona tukio tu.labda nenda polisi maeneo ya karibu na kwako watajua huyu mwizi ni wa aina gani.sasa mtu yupo kigoma aje kutambua mtu wa dar tena mzaramo
Na police nao utatoa rushwa msaada wao mdogo labda watumwe na IGP bila hivo watakusumbua na rushwa daily. Jeshi letu kwa sasa lijiimarishe kitechnologia Ili ku identify wezi ka hawa
 
Sikufanikiwa....jamaa wana gonga geti nakujifanya wao ni maafisa serikalini kuna mwenzao haonekani pichani ambaye anavaa suti...wanakwambia fungua tukupe mzigo wako kisha wanataja ofisi yoyote ya umma ukifungua mlango wanakuvamia na bunduki mapanga visu wanakufunga kamba kisha wana chukua wanachohitaji ikumbukwe tukio hili ni asubuhi ila wanakuwa wengi wanatafuta mitaa isiyo na shughuli nyingi kisha wanatanda hakuna kupita mtu mpaka wamalize shughuli yao KakaJambazi njoo tusaidiane aisee
Waliiba gari tu au waliiba vingine
Je gari ulifanikiwa kuipata ?

Ova
 
Sikufanikiwa....jamaa wana gonga geti nakujifanya wao ni maafisa serikalini kuna mwenzao haonekani pichani ambaye anavaa suti...wanakwambia fungua tukupe mzigo wako kisha wanataja ofisi yoyote ya umma ukifungua mlango wanakuvamia na bunduki mapanga visu wanakufunga kamba kisha wana chukua wanachohitaji ikumbukwe tukio hili ni asubuhi ila wanakuwa wengi wanatafuta mitaa isiyo na shughuli nyingi kisha wanatanda hakuna kupita mtu mpaka wamalize shughuli yao KakaJambazi njoo tusaidiane aisee
Cheki pm

Ova
 
Asanteni mods kwa kuunganisha uzi..na asante wote mnaochangia na kuja dm asante pia kwa wanaokejeli ila tunaelekea pazuri
 
Pole sana mungu akusaidie uwanase hao majambazi
 
Nikajuwa kashika Mguu wa Kuku kumbe kuvuli
 
Pole sana...

Una camera moja tu alafu imekaa angle siyo nzuri...
 
Pamoja na kwamba Picha za CCTV hazionyeshi vizuri na kwamba wamejifunika na kofta ila kama unawafahamu utawafahamu tu zawadi

Nono itatolewa asanteni

View attachment 2079098
Hao sio wezi.

Ni watu wasiojulikana ktk kazi zisizojulikana wala kuwa na muundo,be careful na urekebishe hizo cctv camera zako pia weka alarm getini.
 
Sikufanikiwa....jamaa wana gonga geti nakujifanya wao ni maafisa serikalini kuna mwenzao haonekani pichani ambaye anavaa suti...wanakwambia fungua tukupe mzigo wako kisha wanataja ofisi yoyote ya umma ukifungua mlango wanakuvamia na bunduki mapanga visu wanakufunga kamba kisha wana chukua wanachohitaji ikumbukwe tukio hili ni asubuhi ila wanakuwa wengi wanatafuta mitaa isiyo na shughuli nyingi kisha wanatanda hakuna kupita mtu mpaka wamalize shughuli yao KakaJambazi njoo tusaidiane aisee
Mkuu Mimi ni multisectoral, nshaachaga izo.
 
Back
Top Bottom