KakaJambazi
JF-Expert Member
- Jun 5, 2009
- 18,804
- 12,227
Hana hela huyo.Cheki na KakaJambazi ana connection na wote.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hana hela huyo.Cheki na KakaJambazi ana connection na wote.
Sheria hii ipo nchi gani?Electronic evidence act
Huyu akijulikana atamalizwa huko huko. Mahakama hazina tena kazi kwenye mambo ya wiziUshahidi wa kutumia CCTV hata kule mahakamani kwenye kesi ya Sabaya unasumbua watu.
Hapo kama mtu anamfahamu huyo muhalifu atamtambua licha ya hiyo kofia aliyovaa, na sura yake kwa mbali inaonekana, tatizo ni pale utakapotakiwa kuthibitisha bila kuacha shaka, ndio kazi itapoanzia.