Msaada: Zawadi kwa atakayeweza kuwatambua watu hawa pichani

Msaada: Zawadi kwa atakayeweza kuwatambua watu hawa pichani

Ushahidi wa kutumia CCTV hata kule mahakamani kwenye kesi ya Sabaya unasumbua watu.

Hapo kama mtu anamfahamu huyo muhalifu atamtambua licha ya hiyo kofia aliyovaa, na sura yake kwa mbali inaonekana, tatizo ni pale utakapotakiwa kuthibitisha bila kuacha shaka, ndio kazi itapoanzia.
Huyu akijulikana atamalizwa huko huko. Mahakama hazina tena kazi kwenye mambo ya wizi
 
Back
Top Bottom