PANTHERA LEO
JF-Expert Member
- Jan 25, 2019
- 2,307
- 3,437
Unajua mama unavouliza swali tumia njia ambayo watu watakuelewa hitaji lako..Mimi siijui hometheatre jomonii...nimeuliza hapa naona raia mnanizomea...daah!!!
Sawa bhana!!!!
Mfano hapa jf kuna aina nne za maswali
1.maswali yanayoulizwa kwa kashfa
2.maswali ya dharau
3.Maswali halisi ambayo mtu ana uhitaji wa kujua
4.maswali ya changamsha genge
5. Maswali ya kumpa mtu changamoto(muulizaji anajua jibu)
Sasa hapo swali lako kutokana ulivouliza watu wameona kama umedharau