MSAADAWENU KUHUSU HII HOMETHEATER

MSAADAWENU KUHUSU HII HOMETHEATER

Mimi siijui hometheatre jomonii...nimeuliza hapa naona raia mnanizomea...daah!!!
Sawa bhana!!!!
Unajua mama unavouliza swali tumia njia ambayo watu watakuelewa hitaji lako..

Mfano hapa jf kuna aina nne za maswali

1.maswali yanayoulizwa kwa kashfa

2.maswali ya dharau

3.Maswali halisi ambayo mtu ana uhitaji wa kujua

4.maswali ya changamsha genge

5. Maswali ya kumpa mtu changamoto(muulizaji anajua jibu)

Sasa hapo swali lako kutokana ulivouliza watu wameona kama umedharau
 
Aisee. Ngoja nikague yangu na hivi siitumiagi mara kwa mara..
 
Habali zenu wana jamvi
Leo nimeamini kwamba vyuma vipo tyt sio tu kwa binadamu mpka wanyama na wadudu.nimepatwa na ghadhabu ju ya huyu mdudu panya kitendo alichonifanya kula speaker ya hometheater hakika sita muacha hai siku akingia kwenye kumi na nane zangu.

Msaada kwa anayejua headquater za sony au sehemu mafundi wazuri wa hizi kitu tujuzane kwamaa mimi nipo addict na mziki mnene. MODEL DAV 350
Naombeni msaada katika hiliView attachment 1146809
Mkuu tatizo lako limeshanikuta tena na mimi nina system iyo iyo
 
Aisee. Ngoja nikague yangu na hivi siitumiagi mara kwa mara..
Angalia kwa makini mkuu kama uitumii ni vema ukaifungia tu kwa maana hawadudu hawana huruma wala msaada na wewe
 
Ni Speaker tu
peleka ulikonunua kama wanaweza kukuagizia sub nyingine. au ifungue then toa woofer. nenda town katafute zitazoendana (watt,kipenyo na ohms) ukikosa kabisa cheki mtumbani.
 
Mkuu inanesha unauzoefu na hzi kitu sasa kama inawezekana ni comnect au nipe direction na mafundi na sio wababaishaji mwisho wa siku tatizo lizae tatizo.
 
Msaada umeshapewa khs hometheatre yako, unapokwama ni wapi..hiyo post namba 3 ingetosha kumaliza dukuduku lako lote

Tanzania bado kwa kweli
Mkuu wewe kwel unahata redio kwel mana umeshupalia kwel kama wewe ndio ulie nielekeza vile
 
Mkuu inanesha unauzoefu na hzi kitu sasa kama inawezekana ni comnect au nipe direction na mafundi na sio wababaishaji mwisho wa siku tatizo lizae tatizo.
kama ni kuibadili tu hiyo kazi ni simple hata wewe mwenyewe unaweza fanya. ila kwanza nenda uliponunua au kwa dealer wa sony.

ila mpunga mrefu lazima ukutoke.
 
panya amekura waya au ameharibu nini hasa ikiwezekana piga picha hapo alipofanya uharibifu ili iwe rahisi kukusaidia sio mpk ubebe kifaa udnde huko
 
Asante kwa msaada wa mawazo mkuu.ngoja niandae pochi
 
Habali zenu wana jamvi
Leo nimeamini kwamba vyuma vipo tyt sio tu kwa binadamu mpka wanyama na wadudu.nimepatwa na ghadhabu ju ya huyu mdudu panya kitendo alichonifanya kula speaker ya hometheater hakika sita muacha hai siku akingia kwenye kumi na nane zangu.

Msaada kwa anayejua headquater za sony au sehemu mafundi wazuri wa hizi kitu tujuzane kwamaa mimi nipo addict na mziki mnene. MODEL DAV 350
Naombeni msaada katika hiliView attachment 1146809
Mkuu iko ivi.. Panya hawezi kuingia kwenye main unit(deki iyo) maana hakuna pa kuingilia ila anaweza kuingia humo kwenye spika kubwa maana kuna tundu hilo la kupumulia.

Iyo spika kubwa haina mtambo wowote it's just spika tu. Maana yake kama panya ameingia humo akafanya yake system ina kuwa haitoi bas tu ila mambo mengine safi.

Tatizo hujatoa maelezo kwenye uzi wako...nashindwa kuelewa tatizo ni nini?
 
panya amekura waya au ameharibu nini hasa ikiwezekana piga picha hapo alipofanya uharibifu ili iwe rahisi kukusaidia sio mpk ubebe kifaa udnde huko
Amekula speaker mkuu
 
Mkuu iko ivi.. Panya hawezi kuingia kwenye main unit(deki iyo) maana hakuna pa kuingilia ila anaweza kuingia humo kwenye spika kubwa maana kuna tundu hilo la kupumulia.

Iyo spika kubwa haina mtambo wowote it's just spika tu. Maana yake kama panya ameingia humo akafanya yake system ina kuwa haitoi bas tu ila mambo mengine safi.

Tatizo hujatoa maelezo kwenye uzi wako...nashindwa kuelewa tatizo ni nini?
Speaker kubwa ndo imepata majanga hayo hvo sauti haitoki inamaa kuwa kilichoathirika ni speaker ya ndani
 
Back
Top Bottom