Pre GE2025 Msafara wa ACT, Lissu wazuiliwa airport nchini Angola, kurudishwa nchini, ACT watoa tamko

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Ni kama tu mpambano wa Simba na Yanga ulivyoluwa tarehe 8.
 
Yaani mnamtaka mumuite balozi mumuhoji nyie kama nani? Huo mkutano sio wa wanaharakati.
 
Nafikiri ni "Marburg virus " tu!
 

Trump hole country
 

14 March 2025


Kada wa chama cha mapinduzi aomba waziri wa mambo ya nje mheshimiwa Kombo asiingilie kati kushikiliwa kwa masaa 8 kisha kutimuliwa kwa Makamu wa Kwanza Othman Masoud Othman, Tundu Lissu, Dorothy Semu, balozi HE Lieutenant General Matthew Edward Mkingule, Zitto Kabwe ... nchini Angola

View: https://m.youtube.com/watch?v=9QbuTov5Tqw kuwaokoa kidiplomasia makamu wa rais wa Zanzibar mheshimiwa OMO, mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu, Bi. Dorothy Temu kiongozi mkuu wa ACT Wazalendob na wale wote waliokuemo katika msafara mzima kutoka Tanzania uliopata kadhia Angola

Kada huyo wa CCM mwanaharakati Ahmed ametoa tuhuma nzito juu ya msafara uliotokea Tanzania kwenda Benguela Angola kwa mkutano wa kidunia wa IDA ...
 
Luanda, Angola

O Primeiro Vice-Presidente de Zanzibar, Othman, Lissu, foi impedido de entrar em Angola. Um impasse diplomático se desenrolou no Aeroporto de Luanda..
Mkuu ungetutafsiria hiki Kireno kwa Kiswahili ili tujue kwanini wameuzuia msafara wetu.
 
Mkuu ungetutafsiria hiki Kireno kwa Kiswahili ili tujue kwanini wameuzuia msafara wetu.

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Othman, Lissu, wazuiwa kuingia Angola. Mgogoro wa kidiplomasia ulizuka katika uwanja wa ndege wa Luanda ni kiashiria cha haja ya kuitazama sera ya mambo ya nje ya Tanzania kuhusu kutetea raia wake ..

Msomi mmoja alilizungumzia sera ya ya mambo nje, ilivyoshindwa kuwa imara kama enzi za Nyerere:

Makala haya (msomi) yanasema kuwa sera ya mambo ya nje ya Tanzania imepitia mabadiliko kwa muda. Hata hivyo, katika kila hatua ya mabadiliko hayo, Tanzania ilikabiliwa na mkanganyiko wa kuwekeza kiushawishi Afrika Mashariki au kuanzisha ushirikiano wa kiusalama na Kusini mwa Afrika.

Mtanziko huu bado unaiweka Tanzania katika kona ngumu yenye masharti katika chaguzi za sera za nje za Tanzania hivi leo.

Kutokana na mtanziko huo, Tanzania imechagua uanachama wa kikanda ktk maeneo mawili kwa wakati mmoja yaani katika mashirikiano ya kikanda ambayo ni: Jumuiya ya Afrika Mashariki EAC na Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika SADC... na kupelekea Tanzania kuonekana mtaka yote asiye na ushawishi katika yote... mwisho wa nukuu.

Ndiyo maana Tanzania EAC inaburuzwa na Kenya, Uganda, Rwanda, Congo na haipo salama kwa Mozambique, South Africa, Angola kwani kama kiumbe popo haijulikani Tanzania ni ndege au mnyama hivyo kukosa kukubaliwa ndani ya EAC na SADC

Dhahama hii iliyotokea Luanda Airport ya February 4 Luanda ni kiashiria kuwa Tanzania ijitafakari katika sera zake za mambo ya nje ili iweze kurejesha ushawishi, kuheshimiwa na kuwa muongoza agenda badala ya kuwa mshiriki.
 
14 March 2025
Mbozi, Songwe
Tanzania

MZEE WASIRA AJITOSA MZIMA MZIMA, AMTAKA TUNDU LISSU KURUDI NYUMBANI BAADA ya KUZUILIWA AIRPORT ANGOLA...

View: https://m.youtube.com/watch?v=3Cl_8wmwtbs Makamu wa Mwenyekiti wa CCM Bara, Mzee Stephen Wasira, ametoa wito kwa Makamu wa Kwanza wa rais Zanzibar Othman Masoud Othman aliye pia mwenyekiti wa ACT Wazalendo, mwenyekiti Tundu Lissu, Dorothy Semu, balozi HE Lieutenant General Matthew Edward Mkingule, kiongozi mstaafu Zitto Kabwe .... kurudi nyumbani kufuatia taarifa za kuzuiliwa kwake nchini Angola. Wasira alitoa kauli hiyo akiwa katika ziara ya kikazi wilayani Mbozi, mkoa wa Songwe...
 
 

Attachments

  • IMG-20250314-WA0002.jpg
    103.3 KB · Views: 0
Tanzania ina ubavu wa kumtimua balozi wa Angola baada ya Makamu wa Rais wa Kwanza wa serikali ya Mapinduzi Zanzibar mheshimiwa OMO kudhalilishwa kidiplomasia nchini Angola akiwa airport?

View: https://m.youtube.com/watch?v=FrC8GAIk-9QViongozi wengine mbali na Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar mheshimiwa Othman Masoud Othman ni mwenyekiti Tundu Lissu, kiongozi mkuu Dorothy Semu, balozi HE Lieutenant General Matthew Edward Mkingule, Zitto Kabwe ... wote kutoka Tanzania pamoja na makamu wa rais wa kwanza wa SMZ mheshimiwa Othman walitimuliwa..

TOKA MAKTABA
PERSONA NON GRATA
15 March 2025
MAREKANI YATIMUA BALOZI WA AFRIKA YA KUSINI


Photo: Ambassador Ebrahim Rasool

Secretary of State Marco Rubio said Friday that South Africa's ambassador, Ebrahim Rasool, was "no longer welcome" in the United States. Rasool is "a race-baiting politician who hates America and hates @POTUS," Rubio posted on X, referring to Trump by his White House X account handle. "We have nothing to discuss with him and so he is considered PERSONA NON GRATA."
Source : Le Monde.fr
 
Kushikiliwa kwa masaa 8 na kisha kutimuliwa kwa

MAKAMU WA RAIS ZANZIBAR OTHMAN MASOUD ATOA TAMKO ANGOLA BAADA YA KUACHILIWA


View: https://m.youtube.com/watch?v=-IV9Y8_JcwAHE Othman Masoud Othman Sharif is the First Vice President of Zanzibar.

Zanzibar's First Vice President HE Othman Masoud, Mr. Tundu Lissu, Ms. Dorothy Semu, HE Lieutenant General Matthew Edward Mkingule, and others .... were denied entry into Angola ..
 
Songwe, Tanzania


Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar mheshimiwa Othman Masoud Othman ni mwenyekiti Tundu Lissu, kiongozi mkuu Dorothy Semu, balozi HE Lieutenant General Matthew Edward Mkingule, Zitto Kabwe ... wote kutoka Tanzania pamoja na makamu wa rais wa kwanza wa SMZ mheshimiwa Othman walitimuliwa..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…