Pre GE2025 Msafara wa ACT, Lissu wazuiliwa airport nchini Angola, kurudishwa nchini, ACT watoa tamko

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
NI ngumu sana kutoa comment yoyote kwa sababu serikali ya Angola haijasema sababu za zuio na kwa maana hiyo kuzuia kongamano hilo la PAD kufanyika....

Hata hivyo, ni obvious kuwa maandalizi ya kongamano hilo nchini himo ambalo linahusisha wageni toka mataifa mbalimbali, litakuwa lilianza kuandaliwa muda mrefu huku serikali ya Angola ikihusishwa na hivyo iikuwa inafahamu...

Kama hivi ndivyo, na kama kuna sababu za msingi kwamba ilikuwa lazima kongamano hilo lisitishwe, ikawaje wakasubiri mpaka wageni wajiandae na kutoka kwenye nchi zao, wakasafiri hadi kufika Angola na ghafla kama radi ya mvua wanawazuia kuingia nchini kwao?

Hiyo ni mipango ya hovyo kiasi kile? Kuna nini huko Angola? Kuna state of emergency? Hao waandaaji wenyewe wa kongamano hilo wanasemaje..?

Au serikali ilipata taarifa fulani za kiintelelijensia kuwa mkutano/kongamano hilo linahatarisha usalama wa nchi yao?

Kama ndivyo waeleze ni kwa kivipi na kisha wawaombe radhi waathirika na serikali ifidie gharama za maandalizi ya kongamano ikiwemo kuwafidia wajumbe waliokwisha kusafiri na kufika nchini humo...!
Ni kama tu mpambano wa Simba na Yanga ulivyoluwa tarehe 8.
 
Wakuu,

Mambo yametokea huko, ngoja waseto waje watueleze kunani! Au CCM ndio imepiga pini 'No Reforms No Election' isipate nguvu wakaanza kushawishiwa kupokea mabadiliko?!

=====

Msafara wa viongozi wa Chama cha ACT Wazalendo ukiongozwa na Kiongozi wa chama hicho Dorothy Semu uliosafiri kuelekea nchini Angola kwa ajili ya kushiriki Mazungumzo ya Jukwaa la Demokrasia Afrika umezuiliwa katika uwanja wa ndege wa Luanda (Angola).

Jambo TV ikizungumza na Waziri Kivuli wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki wa ACT, Dkt. Nasra Nassor ameeleza kuwa viongozi hao akiwemo Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Othman Masoud Othman ambaye ni Mwenyekiti wa Chama hicho pamoja na Mwenyekiti wa CHADEMA Lissu wanarudishwa jijini Johannesburg nchini Afrika ya Kusini ili waweze kurudi nchini.

Nasra ameeleza kuwa msafara wa Makamu wa Rais utarejeshwa peke yake huku viongozi wengine wakirudishwa peke yao

Aidha Jambo TV imemuuliza kama walipewa sababu ya wao kuzuiliwa ameeleza kuwa mpaka sasa bado hawajaambiwa sababu ni nini ila wameambiwa watarudishwa Afrika ya Kusini.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Jambo TV imejaribu kumuuliza juu ya wao kufanya mawasiliano na ubalozi wa Tanzania nchini humo amesema kuwa wamewasiliana nao lakini ubalozi huo hauna nguvu juu ya maamuzi yaliyofanyika

Jambo TV inaendelea kufuatilia habari hii zaidi na tutaendelea kukujuza.

=========================

VIONGOZI ACT WAZALENDO WAZUIWA KUINGIA NCHINI ANGOLA

Msafara wa Viongozi wa ACT Wazalendo ukiongozwa na Kiongozi wa Chama Ndugu Dorothy Semu na Mwenyekiti wa Chama Ndugu Othman Masoud Othman ambaye pia ni Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar umezuiwa kuingia nchini Angola na mamlaka za Serikali ya Angola.

Viongozi hao wanashikiliwa katika Uwanja wa Ndege wa Luanda na hati zao za kusafiria zinashikiliwa. Serikali ya Angola, bila kueleza sababu yoyote imetoa amri ya viongozi hao kurejeshwa Tanzania.

Viongozi hao waliwasili Angola kushiriki mazungumzo ya Jukwaa la Demokrasia Afrika [The Platform for African Democrats (PAD)] yaliyoandaliwa na Taasisi ya The Brenthurst Foundation yaliyopangwa kufanyika kuanzia tarehe 13-16 Machi 2025.

Mbali na viongozi wa ACT Wazalendo, viongozi wengine zaidi ya 40 kutoka nchi mbalimbali Afrika ambao pia walikuwa wanahudhuria mkutano huo wamezuiliwa na Serikali ya Angola. Moja ya viongozi waandamizi waliotarajiwa kushiriki kwenye Mkutano huo ni pamoja na Marais Wastaafu Ian Khama (Botswana) na Andres Pastrana Arango (Columbia). Wengine ni Waziri wa Kilimo wa Afrika ya Kusini na Kiongozi wa Chama cha DA Ndugu John Steenhuisen na Kiongozi wa Chama cha PODEMOS cha nchini MsumbijiNdugu Venancio Mondlane.

WITO WETU
Wakati Kamati ya Uongozi Taifa ikikutana kwa dharura kutafakari juu ya mkasa huu na hatua muafaka za kuchukua, Chama kinatoa wito ufuatao katika hatua za awali;-

ACT Wazalendo inalaani kwa nguvu kitendo cha udhalilishaji kilichofanyika dhidi ya viongozi wetu na viongozi wengine kwa kuzuiliwa na kushikiliwa katika Uwanja wa Ndege wa Luanda.

Tunamtaka Balozi wa Angola nchini Tanzania kutoa maelezo ni kwa sababu gani viongozi wetu akiwemo Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar wamezuiliwa na kunyang'anywa hati zao za kusafiriria.

Tunaitaka Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki imuite na kumhoji Balozi wa Angola nchini juu ya kadhia hii.

Tunatoa wito kwa Serikali ya Angola kuziachia mara moja hati za kusafiria za viongozi wetu walizozishikilia na kuwaruhusu kuendelea na ratiba yao nchini Angola.

Alichoandika Tundu Lissu
Angolan immigration authorities are holding up and denying entry into Angola for me and a delegation of more than twenty senior leaders and representatives of political parties from across southern Africa who arrived in Luanda earlier today for a planned two day meeting.

The group includes a sitting First Vice President from Tanzania; a former President of Botswana; a former Prime Minister of Lesotho and a host of senior political leaders and delegates from Kenya, Sudan, Tanzania, South Africa, Namibia, Eswatini, Lesotho, Germany, USA, Uganda, DRC and Mozambique.

Angolans and Tanzanians are a brotherly people. Tanzania hosted Dr. Antonio Agostinho Neto and his MPLA fighters in the early years of their independence struggle. We supported Angola through thick and thin during the apartheid South African regime's occupation of Southern Angola in the '70s and '80s.

Like Angola, Tanzania is a SADC member state and, as such, we Tanzanians don't need visa to enter Angola.

This shabby treatment of the nationals of brotherly African nations by the Angolan immigration authorities is totally unacceptable and should be condemned in the strongest possible terms.
Yaani mnamtaka mumuite balozi mumuhoji nyie kama nani? Huo mkutano sio wa wanaharakati.
 
Nafikiri ni "Marburg virus " tu!
 
Trump hole country
 
13 March 2025
Luanda, Angola

LIVE AIRPORT : WAJUMBE WA MKUTANO WA IDC WAONDOKA UWANJA WA NDEGE WA KIMATAIFA FEBRUARI 4 LUANDA ANGOLA

Tundu Lissu akielekea Intercontinental Hotel Luanda Angola usiku huu, :

View: https://m.youtube.com/watch?v=hwTMxBWaiHo

Tundu Lissu ashangaa maafisa uhamiaji walipodai hapo awali kuwa wamrundika rumande, kusubiri kuondoshwa nchini Angola kabla ya kupandishwa ndege

View: https://m.youtube.com/watch?v=H8EKTS6Rek8

14 March 2025

Kada wa chama cha mapinduzi aomba waziri wa mambo ya nje mheshimiwa Kombo asiingilie kati kushikiliwa kwa masaa 8 kisha kutimuliwa kwa Makamu wa Kwanza Othman Masoud Othman, Tundu Lissu, Dorothy Semu, balozi HE Lieutenant General Matthew Edward Mkingule, Zitto Kabwe ... nchini Angola

View: https://m.youtube.com/watch?v=9QbuTov5Tqw
kuwaokoa kidiplomasia makamu wa rais wa Zanzibar mheshimiwa OMO, mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu, Bi. Dorothy Temu kiongozi mkuu wa ACT Wazalendob na wale wote waliokuemo katika msafara mzima kutoka Tanzania uliopata kadhia Angola

Kada huyo wa CCM mwanaharakati Ahmed ametoa tuhuma nzito juu ya msafara uliotokea Tanzania kwenda Benguela Angola kwa mkutano wa kidunia wa IDA ...
 
Luanda, Angola

O Primeiro Vice-Presidente de Zanzibar, Othman, Lissu, foi impedido de entrar em Angola. Um impasse diplomático se desenrolou no Aeroporto de Luanda..
Mkuu ungetutafsiria hiki Kireno kwa Kiswahili ili tujue kwanini wameuzuia msafara wetu.
 
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Othman, Lissu, wazuiwa kuingia Angola. Mgogoro wa kidiplomasia ulizuka katika uwanja wa ndege wa Luanda ni kiashiria cha haja ya kuitazama sera ya mambo ya nje ya Tanzania kuhusu kutetea raia wake ..

Msomi mmoja alilizungumzia sera ya ya mambo nje, ilivyoshindwa kuwa imara kama enzi za Nyerere:

Makala haya (msomi) yanasema kuwa sera ya mambo ya nje ya Tanzania imepitia mabadiliko kwa muda. Hata hivyo, katika kila hatua ya mabadiliko hayo, Tanzania ilikabiliwa na mkanganyiko wa kuwekeza kiushawishi Afrika Mashariki au kuanzisha ushirikiano wa kiusalama na Kusini mwa Afrika.

Mtanziko huu bado unaiweka Tanzania katika kona ngumu yenye masharti katika chaguzi za sera za nje za Tanzania hivi leo.

Kutokana na mtanziko huo, Tanzania imechagua uanachama wa kikanda ktk maeneo mawili kwa wakati mmoja yaani katika mashirikiano ya kikanda ambayo ni: Jumuiya ya Afrika Mashariki EAC na Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika SADC... na kupelekea Tanzania kuonekana mtaka yote asiye na ushawishi katika yote... mwisho wa nukuu.

Ndiyo maana Tanzania EAC inaburuzwa na Kenya, Uganda, Rwanda, Congo na haipo salama kwa Mozambique, South Africa, Angola kwani kama kiumbe popo haijulikani Tanzania ni ndege au mnyama hivyo kukosa kukubaliwa ndani ya EAC na SADC

Dhahama hii iliyotokea Luanda Airport ya February 4 Luanda ni kiashiria kuwa Tanzania ijitafakari katika sera zake za mambo ya nje ili iweze kurejesha ushawishi, kuheshimiwa na kuwa muongoza agenda badala ya kuwa mshiriki.
 
14 March 2025
Mbozi, Songwe
Tanzania

MZEE WASIRA AJITOSA MZIMA MZIMA, AMTAKA TUNDU LISSU KURUDI NYUMBANI BAADA ya KUZUILIWA AIRPORT ANGOLA...

View: https://m.youtube.com/watch?v=3Cl_8wmwtbs
Makamu wa Mwenyekiti wa CCM Bara, Mzee Stephen Wasira, ametoa wito kwa Makamu wa Kwanza wa rais Zanzibar Othman Masoud Othman aliye pia mwenyekiti wa ACT Wazalendo, mwenyekiti Tundu Lissu, Dorothy Semu, balozi HE Lieutenant General Matthew Edward Mkingule, kiongozi mstaafu Zitto Kabwe .... kurudi nyumbani kufuatia taarifa za kuzuiliwa kwake nchini Angola. Wasira alitoa kauli hiyo akiwa katika ziara ya kikazi wilayani Mbozi, mkoa wa Songwe...
 
14 March 2025
Mbozi, Songwe
Tanzania

MZEE WASIRA AMTAKA TUNDU LISSU KURUDI NYUMBANI BAADA ya KUZUILIWA AIRPORT ANGOLA...

View: https://m.youtube.com/watch?v=3Cl_8wmwtbs
Makamu wa Mwenyekiti wa CCM Bara, Mzee Stephen Wasira, ametoa wito kwa Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Tundu Lissu, kurudi nyumbani kufuatia taarifa za kuzuiliwa kwake nchini Angola. Wasira alitoa kauli hiyo akiwa katika ziara ya kikazi wilayani Mbozi, mkoa wa Songwe...
 
Attachments

  • IMG-20250314-WA0002.jpg
    IMG-20250314-WA0002.jpg
    103.3 KB · Views: 0
Tanzania ina ubavu wa kumtimua balozi wa Angola baada ya Makamu wa Rais wa Kwanza wa serikali ya Mapinduzi Zanzibar mheshimiwa OMO kudhalilishwa kidiplomasia nchini Angola akiwa airport?

View: https://m.youtube.com/watch?v=FrC8GAIk-9Q
Viongozi wengine mbali na Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar mheshimiwa Othman Masoud Othman ni mwenyekiti Tundu Lissu, kiongozi mkuu Dorothy Semu, balozi HE Lieutenant General Matthew Edward Mkingule, Zitto Kabwe ... wote kutoka Tanzania pamoja na makamu wa rais wa kwanza wa SMZ mheshimiwa Othman walitimuliwa..

TOKA MAKTABA
PERSONA NON GRATA
15 March 2025
MAREKANI YATIMUA BALOZI WA AFRIKA YA KUSINI

1742037081336.jpeg

Photo: Ambassador Ebrahim Rasool

Secretary of State Marco Rubio said Friday that South Africa's ambassador, Ebrahim Rasool, was "no longer welcome" in the United States. Rasool is "a race-baiting politician who hates America and hates @POTUS," Rubio posted on X, referring to Trump by his White House X account handle. "We have nothing to discuss with him and so he is considered PERSONA NON GRATA."
Source : Le Monde.fr
 
Kushikiliwa kwa masaa 8 na kisha kutimuliwa kwa

MAKAMU WA RAIS ZANZIBAR OTHMAN MASOUD ATOA TAMKO ANGOLA BAADA YA KUACHILIWA

View: https://m.youtube.com/watch?v=-IV9Y8_JcwA
HE Othman Masoud Othman Sharif is the First Vice President of Zanzibar.

Zanzibar's First Vice President HE Othman Masoud, Mr. Tundu Lissu, Ms. Dorothy Semu, HE Lieutenant General Matthew Edward Mkingule, and others .... were denied entry into Angola ..
 
Songwe, Tanzania

1742038188332.jpeg

Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar mheshimiwa Othman Masoud Othman ni mwenyekiti Tundu Lissu, kiongozi mkuu Dorothy Semu, balozi HE Lieutenant General Matthew Edward Mkingule, Zitto Kabwe ... wote kutoka Tanzania pamoja na makamu wa rais wa kwanza wa SMZ mheshimiwa Othman walitimuliwa..
 
Back
Top Bottom