mwanamabadiliko
JF-Expert Member
- Oct 30, 2010
- 1,364
- 2,396
pesa za wahuni
Hii ni laana ya nyerere kuto kufuata netural processNdio Tanzania yetu hiyo halafu mnashangaa kwanini CDF mstaafu hakuweza kupindua meza😁
Heche kazuiwa kufanya siasa ina maana tayari umesahau?CCM Ina maelfu kwa maelfu ya miradi kwahyo tunaposema tumejipanga muwe mnaelewa.
Naona slogan ya no reform no election mmeifuta wenyewe 🤣🤣🤣
OCTOBER TUNATIKI
Kwan bila Heche Mambo hayaendiHeche kazuiwa kufanya siasa ina maana tayari umesahau?
Unajitekenya mwenyewe then unacheka?
BIla Heche mambo yanaenda. .futeni Basi lilo zuio la CDM activities tuendelee na ratiba za mikutano no Reforms no Elections.Kwan bila Heche Mambo hayaendi
Kumbe waliagiza wenyeweHayo mabus ya Yutong F12 yalishuka bandarini 2024 yakiwa na nembo hiyohiyo ya Ccm na ya Jwtz pia yalishushwa baadae kwahiyo Ccm wanayo yao na Jwtz wanayo yao kama ni wizi basi waliiba wakaenda china kununua moja kwa moja na siyo kubadilisha rangi mabus ya jwtz
Picha ya baadhi ya mabus ya ccm yakiteremshwa bandarini
View attachment 3436834
Jambo dogo sn hilo, anafanya Abood peke yake au Shabiby. Achiliq mbali kina Rostam and the like. Hakihitaji kodi zetuNimeuona msafara ambao wa mabasi takribani 20 yakimsindikiza Rais Samia akienda kuchukua fomu ya urais Ofisi za Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC).
Aloooo, kweli kodi za wananchi zimewafaidisha sana hawa CCM! Naandika haya nikibubujikwa na machozi ya huzuni
View attachment 3436797
..mjinga yule alishanunuliwa muda familia yake inamiliki vitalu vya dhahabu hata kabla ya kutangazwa huko geita..alishafika bei siku nyingi.Ndio Tanzania yetu hiyo halafu mnashangaa kwanini CDF mstaafu hakuweza kupindua meza😁
..unamdanganya nani? Taarifa za forodha kati ya mwaka jana wote hadi Jan. 2025 zilionyesha kutokuwepo maelezo ya ccm kuagiza bus acha mabus kutoka china..sio ccm tu hata mfanyabiashara kuagiza mabus ya idadi hiyo katika muda huo hakuna isipokuwa JW tu ndio waliingiza idadi kubwa ya mabus kwa ajili ya jeshi..hizo ni taarifa siyo picha ambayo unaweza kufanya photoshop kudanganya umma.Hayo mabus ya Yutong F12 yalishuka bandarini 2024 yakiwa na nembo hiyohiyo ya Ccm na ya Jwtz pia yalishushwa baadae kwahiyo Ccm wanayo yao na Jwtz wanayo yao kama ni wizi basi waliiba wakaenda china kununua moja kwa moja na siyo kubadilisha rangi mabus ya jwtz
Picha ya baadhi ya mabus ya ccm yakiteremshwa bandarini
View attachment 3436834
Kazi kweli kweli..unamdanganya nani? Taarifa za forodha kati ya mwaka jana wote hadi Jan. 2025 zilionyesha kutokuwepo maelezo ya ccm kuagiza bus acha mabus kutoka china..sio ccm tu hata mfanyabiashara kuagiza mabus ya idadi hiyo katika muda huo hakuna isipokuwa JW tu ndio waliingiza idadi kubwa ya mabus kwa ajili ya jeshi..hizo ni taarifa siyo picha ambayo unaweza kufanya photoshop kudanganya umma.
Hatujaifuta. Imo mioyoni mwetu.CCM Ina maelfu kwa maelfu ya miradi kwahyo tunaposema tumejipanga muwe mnaelewa.
Naona slogan ya no reform no election mmeifuta wenyewe 🤣🤣🤣
OCTOBER TUNATIKI
Hivi mheshimiwa anashindana na nani?Nimeuona msafara ambao wa mabasi takribani 20 yakimsindikiza Rais Samia akienda kuchukua fomu ya urais Ofisi za Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC).
Aloooo, kweli kodi za wananchi zimewafaidisha sana hawa CCM! Naandika haya nikibubujikwa na machozi ya huzuni
View attachment 3436797