GE2025 Msafara wa mabasi ya CCM takribani 20 yatinga Chamwino kumsindikiza Rais Samia, sio kodi zetu kweli hizi?

GE2025 Msafara wa mabasi ya CCM takribani 20 yatinga Chamwino kumsindikiza Rais Samia, sio kodi zetu kweli hizi?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Nimeuona msafara ambao wa mabasi takribani 20 yakimsindikiza Rais Samia akienda kuchukua fomu ya urais Ofisi za Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC).

Aloooo, kweli kodi za wananchi zimewafaidisha sana hawa CCM! Naandika haya nikibubujikwa na machozi ya huzuni:catJAMCRY::catJAMCRY:

View attachment 3436797
CCM Wana miradi inayowaingizia zaidi ya 1Bilion Shs kwa mwezi.
 
Duh Mabasi ni mengi sana zaidi ya 10. Bado magari ya msafara, viongozi wa serikali sehemu husika na watumishi wa umma jumla watu wakushangaa magari na mabasi kila mkutano nyomi inaweza kusafirishwa mkutano mmoja kwenda mkutano mwingine.

Kiufupi hakutakuwa na ukosefu wa nyomi kwenye mikutano. Pia mikutano ya Mama siku hizi ni hema + viti kama kwenye semina za Mwl. Mwakasege.
 

Attachments

  • VID-20250809-WA0219.mp4
    5.9 MB
IMG_2086.jpeg
 
Duh Mabasi ni mengi sana zaidi ya 10. Bado magari ya msafara, viongozi wa serikali sehemu husika na watumishi wa umma jumla watu wakushangaa magari na mabasi kila mkutano nyomi inaweza kusafirishwa mkutano mmoja kwenda mkutano mwingine.

Kiufupi hakutakuwa na ukosefu wa nyomi kwenye mikutano. Pia mikutano ya Mama siku hizi ni hema + viti kama kwenye semina za Mwl. Mwakasege.
Tunapaswa kuchagua Rais ambaye atakuwa na balls za kurejesha mali yetu yote iliyoporwa na CCM.
 
..unamdanganya nani? Taarifa za forodha kati ya mwaka jana wote hadi Jan. 2025 zilionyesha kutokuwepo maelezo ya ccm kuagiza bus acha mabus kutoka china..sio ccm tu hata mfanyabiashara kuagiza mabus ya idadi hiyo katika muda huo hakuna isipokuwa JW tu ndio waliingiza idadi kubwa ya mabus kwa ajili ya jeshi..hizo ni taarifa siyo picha ambayo unaweza kufanya photoshop kudanganya umma.
Ni kweli hata kina Shabiby zile yutong f12 hawajaagiza China wameagiza gairo
 
Hayo mabus ya Yutong F12 yalishuka bandarini 2024 yakiwa na nembo hiyohiyo ya Ccm na ya Jwtz pia yalishushwa baadae kwahiyo Ccm wanayo yao na Jwtz wanayo yao kama ni wizi basi waliiba wakaenda china kununua moja kwa moja na siyo kubadilisha rangi mabus ya jwtz

Picha ya baadhi ya mabus ya ccm yakiteremshwa bandarini
View attachment 3436834
Hata wanatengenezaj na.wauzaji wa haya mabasi nais wanapiga pesa ndefu mno maana wateja wao ni zero brain so hawapati changamoto yoyote ya kiufundi kutoka kwa wateja(sisiemu)
 
CCM Ina maelfu kwa maelfu ya miradi kwahyo tunaposema tumejipanga muwe mnaelewa.
Naona slogan ya no reform no election mmeifuta wenyewe 🤣🤣🤣
OCTOBER TUNATIKI
Watu wamekusanywa kutoka mikoa mbali mbali ili kuongeza nyomi.
 
Nimeuona msafara ambao wa mabasi takribani 20 yakimsindikiza Rais Samia akienda kuchukua fomu ya urais Ofisi za Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC).

Aloooo, kweli kodi za wananchi zimewafaidisha sana hawa CCM! Naandika haya nikibubujikwa na machozi ya huzuni:catJAMCRY::catJAMCRY:

View attachment 3436797
CCM ina mali nyingi nchi nzima ina vitega uchumi, acha ushambenga hayo mabasi ni kt kdg sn kwa CCM
 
Acha uzandiki hiyo miradi labda ya uchawa,mahospitalini hakuna madawa na vifaa tiba,no reform no election huwez kuiona ukiwa chawa
We kenge huna akili kwl, tofautisha CCM na serikali. We ni zumbukuku kwl, no election watu wamechukua fomu ya urais?
 
Huu uhuni wa Ccm ukitafakari bila unafiki unaweza ukajikuta unamtukana Samia waishie kukuua bure!
 
Huyu Mama hafai kuwa kiongozi wa nchi yetu, kwanini asikamatwe na kunyang'anywa fomu asigombee urais na kama akilazimisha afungwe jela bila kutoka.
 
Back
Top Bottom