GE2025 Msafara wa mabasi ya CCM takribani 20 yatinga Chamwino kumsindikiza Rais Samia, sio kodi zetu kweli hizi?

GE2025 Msafara wa mabasi ya CCM takribani 20 yatinga Chamwino kumsindikiza Rais Samia, sio kodi zetu kweli hizi?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Acha uzandiki hiyo miradi labda ya uchawa,mahospitalini hakuna madawa na vifaa tiba,no reform no election huwez kuiona ukiwa chawa
Hospitali gani haina vifaa na madawa. Au huu ndo msemo mkalilishwa
 
Back
Top Bottom