Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 22,981
- 47,826
Watu kama wamerogwa wanaagiza bus za kampeni huku nwendokasi ikiwa hoi hata bus 10 tu zingewasaidia pale wao wanapaki kwa ajili ya Uchaguzi na mambo yao mengine..Hayo mabus ya Yutong F12 yalishuka bandarini 2024 yakiwa na nembo hiyohiyo ya Ccm na ya Jwtz pia yalishushwa baadae kwahiyo Ccm wanayo yao na Jwtz wanayo yao kama ni wizi basi waliiba wakaenda china kununua moja kwa moja na siyo kubadilisha rangi mabus ya jwtz
Picha ya baadhi ya mabus ya ccm yakiteremshwa bandarini
View attachment 3436834
