GE2025 Msafara wa mabasi ya CCM takribani 20 yatinga Chamwino kumsindikiza Rais Samia, sio kodi zetu kweli hizi?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Ndio Tanzania yetu hiyo halafu mnashangaa kwanini CDF mstaafu hakuweza kupindua meza😁
Hii ni laana ya nyerere kuto kufuata netural process

Alilivuka tabaka la kati la waungwana akawakomoa kwa Kuwaweka washamba na ndio matokeo yake haya

Hakupaswa kuwadharau Wakina sykse
 
NI UPUMBAVU MTUPU.yaani unaenda kuchukua fomu tu unaenda na mabasi zaidi ya 20 ya kazi Gani Sasa?Matumizi mabaya ya Kodi za wananchi japo wapuuzi wachache wanasema ni Kodi za CCM pekee kitu ambacho ni uongo
 
Kumbe waliagiza wenyewe
 
Jambo dogo sn hilo, anafanya Abood peke yake au Shabiby. Achiliq mbali kina Rostam and the like. Hakihitaji kodi zetu
 
Ndio Tanzania yetu hiyo halafu mnashangaa kwanini CDF mstaafu hakuweza kupindua meza😁
..mjinga yule alishanunuliwa muda familia yake inamiliki vitalu vya dhahabu hata kabla ya kutangazwa huko geita..alishafika bei siku nyingi.
 
..unamdanganya nani? Taarifa za forodha kati ya mwaka jana wote hadi Jan. 2025 zilionyesha kutokuwepo maelezo ya ccm kuagiza bus acha mabus kutoka china..sio ccm tu hata mfanyabiashara kuagiza mabus ya idadi hiyo katika muda huo hakuna isipokuwa JW tu ndio waliingiza idadi kubwa ya mabus kwa ajili ya jeshi..hizo ni taarifa siyo picha ambayo unaweza kufanya photoshop kudanganya umma.
 
Kazi kweli kweli
 
Wanahangaika sana CCM na mgombea wao.

Yoteb haya leo nimeyashuhudia kwa macho yangu nikiwa kwenye shughuli zangu
 
CCM Ina maelfu kwa maelfu ya miradi kwahyo tunaposema tumejipanga muwe mnaelewa.
Naona slogan ya no reform no election mmeifuta wenyewe 🤣🤣🤣
OCTOBER TUNATIKI
Hatujaifuta. Imo mioyoni mwetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…