Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 22,981
- 47,826
Watu kama wamerogwa wanaagiza bus za kampeni huku nwendokasi ikiwa hoi hata bus 10 tu zingewasaidia pale wao wanapaki kwa ajili ya Uchaguzi na mambo yao mengine..Hayo mabus ya Yutong F12 yalishuka bandarini 2024 yakiwa na nembo hiyohiyo ya Ccm na ya Jwtz pia yalishushwa baadae kwahiyo Ccm wanayo yao na Jwtz wanayo yao kama ni wizi basi waliiba wakaenda china kununua moja kwa moja na siyo kubadilisha rangi mabus ya jwtz
Picha ya baadhi ya mabus ya ccm yakiteremshwa bandarini
View attachment 3436834
JwtzJeiwii NI NINI!?
NRNE
Sidhani kama jeshi letu Lina sapoti.Jwtz
Mkuu nimekupa tafsri ya jeiwii tu mambo mengine hayo siyajui..Sidhani kama jeshi letu Lina sapoti.
UPUUZI
HahahaMkuu nimekupa tafsri ya jeiwii tu mambo mengine hayo siyajui..
Baaas tumekwisha..mjinga yule alishanunuliwa muda familia yake inamiliki vitalu vya dhahabu hata kabla ya kutangazwa huko geita..alishafika bei siku nyingi.
Mbona hii ni kawaida sana mkuu,sema umechelewa kujua.Haya mabasi yaliingizwa nchini kwa tiketi ya JWTZ nashangaa CCM wakajichukulia juu kwa juu
Nahisi waafrika bado hatujawa binadamu kamili, bado tuko kwenye ‘process’ ya ‘evolution’Acha uzandiki hiyo miradi labda ya uchawa,mahospitalini hakuna madawa na vifaa tiba,no reform no election huwez kuiona ukiwa chawa
Ccm ni mchwa hawashibiNimeuona msafara ambao wa mabasi takribani 20 yakimsindikiza Rais Samia akienda kuchukua fomu ya urais Ofisi za Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC).
Aloooo, kweli kodi za wananchi zimewafaidisha sana hawa CCM! Naandika haya nikibubujikwa na machozi ya huzuni
View attachment 3436797
Inasikitisha sanaMbona hii ni kawaida sana mkuu,sema umechelewa kujua.
Uwe na heshima tafadhariLione hili zuzu, we ndiyo uliyapokea? Acheni ushamba
Doo Pole kwa maumivu mwamba mwambieni na Heche zile tozo zake za tone tone afanye kujibu mapigo watu wapone maumivu..Wanahangaika sana CCM na mgombea wao.
Yoteb haya leo nimeyashuhudia kwa macho yangu nikiwa kwenye shughuli zangu
Hapo ndipo utajuwa akili za viongoI wa kibongo zilivyoWatu kama wamerogwa wanaagiza bus za kampeni huku nwendokasi ikiwa hoi hata bus 10 tu zingewasaidia pale wao wanapaki kwa ajili ya Uchaguzi na mambo yao mengine..
Wametuwekea kodi kubwa kuagiza Scania huku wao wana Horse moja matata sana wanabebea Spika na kucheza ngoma mazao yapo shambani yanasubiri usafiri wiki ya nne...Hapo ndipo utajuwa akili za viongoI wa kibongo zilivyo
Kwenye kuagiza mabasi ya kampeni wako faster ila inapokuja suala la usafiri wa umma mwendokasi ni kizungumkuti,
Bado wanawaona wananchi wao kama mangombe tu
Ova
Ndugu matumizi ni mipango majumbani kwetu shida tu na hazishi lkn hilo halituzihi kununua TV bando kutuma na yakutolea vyote ni hanasa tu.Watu kama wamerogwa wanaagiza bus za kampeni huku nwendokasi ikiwa hoi hata bus 10 tu zingewasaidia pale wao wanapaki kwa ajili ya Uchaguzi na mambo yao mengine..
Dio kazi za jeshi wakati wa amaniInasikitisha sana
Hapo baadae sticker zinatolewa na kurudishwa jeshini
Ccm ndio watawala usifananishe na mambo ya familia mkuu naomba tuishie hapa mazee naona unatembea kama bata tu huku..Ndugu matumizi ni mipango majumbani kwetu shida tu na hazishi lkn hilo halituzihi kununua TV bando kutuma na yakutolea vyote ni hanasa tu.
So CCM kuipangia matumizi ni kujichosha
Siasa inaguza vitu vingi ikiwemo muonekano wa chama chako.
Ni kipindi cha Siasa lkn pia nikipindi cha Sherehe za CCM na waTanzania wote wenyekugushwa.
Natamani bus zima lianguke wote wawe RIPNimeuona msafara ambao wa mabasi takribani 20 yakimsindikiza Rais Samia akienda kuchukua fomu ya urais Ofisi za Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC).
Aloooo, kweli kodi za wananchi zimewafaidisha sana hawa CCM! Naandika haya nikibubujikwa na machozi ya huzuni
View attachment 3436797