Uchaguzi 2020 Msafara wa Mgombea Mwenza CHADEMA, Salum Mwalimu wapigwa mabomu Ifakara

Hivi hawa polisi wanajitambua kweli!!?? hivi mamazao na shangazi zao wana hawajaumizwa na huu utawala!! niliwahi sikia kuwa! ukifeli kidato cha nne, basi nenda polisi watakuchukua!!
 
Tuwe wakweli, Magufuli huwa hasimami?
 
Hivi Mgombea Mwenza wa Magu yule Mama Samia Suluhu naye huwa anapigwa mabomu ya machozi hivi hivi? Au yeye huwa hasimami barabarani kusalimia wananchi?
Ulishamuona anasimama vichochoroni?
 


Ikukumbukwe mkurugenzi wa NEC ni PHD,sasa fikiria angekuwa darasa la 7
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…