Tanzanians
JF-Expert Member
- Mar 4, 2025
- 265
- 385
Magari kama yote
Nchi inatafunwa kisawasawaKuna video moja niliipna mwaka jana magari ni takriban 100 na ushehe hivi.
Watu usalama hapo vipi, huyo mpiga picha hiyo angle hiyo!!Magari kama yote
View attachment 3334525
Wamfuate MsuyaMbona hawatimui mbio mwendo wangiriii il hzo corna zinyookee
Ni mtu yupo kwake akaamua kuchukua videoWatu usalama hapo vipi, huyo mpiga picha hiyo angle hiyo!!
Uliyepiga hii Picha una bahati sana na Siku zingine usije ukarudia kwani ni HATARI sana Kwako. Wana MOSSAD mtanielewa.Magari kama yote
View attachment 3334525
kwenye huo msitu wa upareni hakuna hata mwenye manatiMagari kama yote
View attachment 3334525
Sio kirahisi hivyo.Location nzuri sana hiyo kufanya jambo kama la Ndugu Lee HarveyOswald
Wale wakuvizia waki rusi na kifinland hapo hawakukosi.Location nzuri sana hiyo kufanya jambo kama la Ndugu Lee Harvey Oswald
Masta ni kirakaaaLocation nzuri sana hiyo kufanya jambo kama la Ndugu Lee Harvey Oswald
Huo mteremko ni mkali sana mbona speed ni kama 20KPHMagari kama yote
View attachment 3334525