Msafara wa Rais Samia ukitoka upareni mazikoni kwa Cleopa Msuya

Msafara wa Rais Samia ukitoka upareni mazikoni kwa Cleopa Msuya

Location ipo mwake sana, sema watz ni watu wema sana. Tuzidi kuwa wema, watawala wawe wema, wasijione wamefika maana madaraka ni ya kitambo tu!!
 
Sema Tanzania ni salama sana,huwezi tembea namna hio nchi za wenzetu.
Huu mfumo wa kua na magari mengi wameiga maisha ya nyuki,cku zote Queen analindwa ila kiprotocol hio hali/maeneo sijambo zuri kiusalama
 
Jamaa wanatafuna hela ya umma kisawasawa! Hawana huruma KABISA KABISA 😤😤😤😤😤
 
Screenshot_20250515-014418_1.jpg
 
Hawa viongozi wanaopatikana Kwa dharura yaani hawakutarajia kuupata urais Huwa wanashida sana katika suala la matumizi ya fedha.Magari yoye hayo ni ya nini
 
Hio ni Upare ya wapi , japo nyumbani kabisa ila milima mingi Bado kule Mamba Miamba ndo milima ya kutosha ..
 
Nahavache Avae, kumbe ni ugweno , mi sinahafika uko...
 
Eneo limekaa vizuri kwa kuweka machine gun nest pia ni view nzuri kwa kuwaagizia RPG hao wanaopitapita huko chini na ving'ora
 
Back
Top Bottom