makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 37,696
- 109,218
Ni hatari, kama jamaa angekuwa mi mdunguaji saa hizi tunaongea mengine.Watu usalama hapo vipi, huyo mpiga picha hiyo angle hiyo!!
Tuendelee kulipa kodi kwa bidii kubwa.Hapo nimehesabu gari jumla zipo 39
Angle kama hizo huko upareni milimani zipo nyingi tuWatu usalama hapo vipi, huyo mpiga picha hiyo angle hiyo!!
Msafara wa msiba huwa mrefu kama mleta mada kama unabisha kufa uone msafara utakavyokuwa mrefu wa msiba wakoMagari kama yote
View attachment 3334525
Magari kama yote
View attachment 3334525
Kumbe unafaa kuwa sniperMagari kama yote
View attachment 3334525
We unaelewa maana ya Rais?Magari kama yote
View attachment 3334525
it was strangely wide openLocation nzuri sana hiyo kufanya jambo kama la Ndugu Lee Harvey Oswald
Ugweno unaelekea usangiHio ni Upare ya wapi , japo nyumbani kabisa ila milima mingi Bado kule Mamba Miamba ndo milima ya kutosha ..